Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,166
- 188,670
Haha mbona unanidogodisha hivyo aisee!! After 5 yrs nitakuwa naikaribia 40
Haha mbona unanidogodisha hivyo aisee!! After 5 yrs nitakuwa naikaribia 40
Hahaha... hao ni wapenda mteremko... slope... utelelzi...
Usitukane Mamba kabla kuvuka mto.Sidhani kama nitakua na tamaa na ngono na vijana uzeeni
Eeh, Okonkwo umeanza kutuchocha (Ah zii...unataka vijana wetu wawakurupukie mama zao eeh?!!.
Hivi nyie mkienda kwa hao majimama sie wa size zenu twende wapi?
Yani uka date cougar halafu uogope risks
Kwani ww hujui kwann unadate nae?!
Uoe kijana huku unanyandua cougar
Hauwezi kua serious na maisha yako
Alafu huenda wewe ni graduate na unaheshimika kabisa hapo mtaani!!!
Naunga mkono hoja kijana kama una future kubwa yani big dream tafuta tu mtu mzima kwanza mpaka utoboe ndio utafute mke wa saizi yako ila kwa mahusiano tu stable these old ladies wako stable sana
Utakuta mleta mada maza ake analiwa na kadogo janja ka mtaa wa pili
Haya mambo sio ya kujisifia Mkuu. Usiombe mzazi wako / sista zako wakubwa wakawa wanaliwa na dogo unayemzid umri na ukamjua. Inaumaga sana..
Sio kila kitu cha kujisifia. Vingine unakausha tu
Ila mwanangu hapo umenichosha kwenye umri yaani kuanzia 45 duu
Ni sawa ila kiubinadamu hapana maana wagane wamejaaHao cougar nibinadamu wanahisia, hata wewe utafikia huko inshallah nakuombea... kwabahati mbaya kwa umli wao wanakuwa wamefiwa waume ama wametengana au mume hana uwezo wakuwaridhisha while wao wanakuwaga na LIBIDO kubwa sana that's why wanatafuta isaidizi kwa vijana ili maisha yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hurnda nikafa kabla sijafika hata 30's wazee wenzangu nao wapo tutaliwana tumalizie uhaiUsitukane Mamba kabla kuvuka mto.
Niliwahi date na mtu mzima tumbo flat na ni mzuri sana kama mr world yaani ni handsome balaa .
Ila wanaume wengi wadogo wanajua mahali pake kweli kushusha pumzi hadi raha.
Tofauti hawana shukurani .
Wababa wanayooo.
Nilienjoy sana kwa huyo baba mengii anajua kutunza anajua kupenda anakujali jamani.
Hawa vijana wao huanza na kukuzima pumzi tu unaenjoy ila woiiii hawajui kucare and their resposibility .
Hiyo ndio different between A father and A son.
Mhhh! Ngoja tu nipite kimya kimya maana mimi nyota yangu ni ya kupenda wanawake/wasichana ambao mtoa mada ndiyo kwanza anawadis.
Hizo Mambo mie sitaki kabisa mm huwananunua Dada POA Tena naangalia piss kali nitakayoifurahia, naikaza tunaachana Hapo no kupigiana simu maana yeye yupo kazini, hata Simi nikiiacha home wife akipokea anakutana na simu za kazi na masela so anajua sipigi nje, awe mwanamama, au mwanadada Kama mchepuko kunamatumizi yasiyo ya lazima lazima utaingia haiingii kichwani home nimenunu kiroba Cha mchele afu namchepuko nifikirie utakula nn...nimejiwekea utaratibu nanunua papuchi Mara moja kwa mwezi (Tena Bei rahisi) najipigia narudi home Bila wife kuhisi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe namba ya mama ako nadhani ni umri huo naahidi kumtomba vzr sana na kumtunza.
Mods nyuzi kama izi ni uzalilishaji Kwa Wazazi wetu, sijui kwa nn mnaziacha
Daah eti mifupaUnasema kweli nakumbuka alikuwa hadi massage ananifanyia .
Hela anatoa kila nilalohitaji anafanya loh hii khali.
Yaani hakuchakazi vijana hadi roho anakutoa eti.
Unabakia mifupa
Umri wa mtoa mada please nimechelewa kufika kwenye kikao. Unaweza kusema mama mwenye 61 ni mtu mzima kumbe wewe una 54.
Ni sawa ila kiubinadamu hapana maana wagane wamejaa