nanyie mkatafute ma babu huko muishi nao. Vise versa is trueEeh, Okonkwo umeanza kutuchocha (Ah zii...unataka vijana wetu wawakurupukie mama zao eeh?!!.
Hivi nyie mkienda kwa hao majimama sie wa size zenu twende wapi?
Wadada wazuri wote njooni kwangu kwa maana mimi ndimi Alfa na Omega ya mapenzi yenu!,Mimi ndio kimbilio la burudani na kifuta machozi wenu..
Haswaaa mimi ndimi.. 😜😉
Unasema kweli nakumbuka alikuwa hadi massage ananifanyia .Ndio mademu zangu hawa sasa hivi Niko Nainjoi na Penzi la jimama mwenye miaka 40,
Mi kwangu nina 25 ,kanipita kwa interval ya miaka 15,
Aiseee ni watamuu sanaa ,muda mwingi ananichulia kama mwanae wa kwanza mwenye miaka 22.
CC Zero IQ
Mbona simjui huyo agness!Agness......
Njoo uone hukuuuu....
Mbona simjui huyo agness!
Au ndo wewe..?
Jipe upendeleo we unataja wengine tu.. au unataka nichepuke..??Utamjua tuu ukianza kuongea kisukuma bin kinyamwezi.
SanaaaUnasema kweli nakumbuka alikuwa hadi massage ananifanyia .
Hela anatoa kila nilalohitaji anafanya loh hii khali.
Yaani hakuchakazi vijana hadi roho anakutoa eti.
Unabakia mifupa
watawezana kweli??Mababa wana vitambi