Experience yangu kama baby moma

Kwanza pole sana mama angu.

Najua raising a kid as a single mother does not build a stable family.

Kosa lako sio kutembea na mume wa mtu hadi yakakufika hayo, hapana, na nashangaa bado hujajua kosa lako umebaki kujilaum kua ni kutembea na mume wa mtu.

Kosa lako mabinti wengi kama wewe huyafanya kila siku na bado hawajui makosa yao wanaishia kutafta sababu nyingine. Kwa kua hujajua kosa lako na mimi sitakwambia.

Pole sana, lea huyo anko wetu akue na afya njema.
 
Hivi unaweza kupata mtoto ukawa depressed real? mmm im just thinking out loud ...like u have your own image yet u feel sad..cmon just enjoy being a mom no matter what..Jikubali mdada.

Mkuu hebu waulize madaktari hii kitu "Post Natala Depression" ni mbaya sana na huwapata wamama wengi hata walio kwenye ndoa na mahusiano mazuri. Ni pale mwili wako unapoadjust na hormonal changes unajukuta ghafla una majukumu mengi mara mtoto halali usiku mara maziwa hayatoki- its a mixute of small cases causing depression ila huwa inapita baada ya muda mfupi.
 

Mwandiko wangu naona umewasumbua wengi,ila ndivyo ulivyo,hata nikiandika kwenye paper wengi wanasema ni mwandiko wa kiume,isitoshe kama nilivyosema nilikuwa mtu wa bata sana na viwanja mjini,so tabia flani niliziadapt.

Nimehudhuria viwanja vingi mno mjini,hakuna chimbo nilikuwa silijui.wala sikudhan ntakuja patikana kirahisi hivyo.Bt imetokea na maisha yanaendelea.
 


Najua weza sema kosa langu ni kufanya bad choice,yaweza kuwa kweli.Ila kwa maisha niliyokuwa naishi haikutegemewa yanikute hayo.

Isitoshe nimesema ni kutoka na mume wa mtu kwakuwa,yule mwanamke niliyekuwa natoka na mumewe,alikuwa binti tu kama mimi,tena mrembo.Afu yule mwanaume alianza date nami baada ya mkewe kupata mtoto wa pili.Tulikuwa tunautumia muda mwingi mimi na mumewe kufanya yetu,home kwake akawa anarudi usiku mnene.

Yule mwanamke alikuwa anampigia simu nikiwa naye kwenye starehe,lakini alikuwa hajali,hazipokei ama akipokea anamdanganya afu tunaendelea na yetu.that's why nasema machozi ya yule mwanamke yalinirudi na nikayalipia kupitia uzazi kama naye alivyotelekezwa na mumewe wakati huo.
 
Baby moma weye si wa kwanza. Mwombe Mungu akusaidie na jitume zaidi kufanya kazi ili ulee mtoto katika maadili mema

Kama nilivyosema ni mwaka wa pili sasa nalea,my little being alone.Kazi nafanya na niko vizuri kiuchumi,ila experience hii niliyopitia nilitaka mabinti wajifunze.Hasa baada ya kuona kelele za kuwalazimisha mabinti wazae eti kisa tu,financially wako vizuri.Tunasahau emotional aspect ambayo ndo inaplay part kubwa katika upendo na malezi ya watoto.
 
Personally nimejifunza kitu hapo ila haya maisha haya kila mtu anamwisho wake tofauti kabisa na mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…