Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Ndio hawana alama ila kujiachia na MTU asiye na future ni hatari mno. Wanaume ni selfish mnoHawana alama.
Ndio hawana alama ila kujiachia na MTU asiye na future ni hatari mno. Wanaume ni selfish mnoHawana alama.
yeah like a game ... she may winLittle chances to tell the truth.
Hahaaaa eti hupendi hata sisi wanawake tuna vigezo vyetu vya Ku chose. Kwanini wewe ukienda kununua nguo siunaangalia inayokukaa vizuri na kuku fit kulingana na vigezo vyake.Mm ni mrefu, lakin sipendi tu hiyo tabia yenu
Wanaume wenye future ni wale tunao wadhalau iwe mwanaume au mwanamke, kibinadamu mtu yeyote akiona anapendwa sana hupata kibulii.Ndio hawana alama ila kujiachia na MTU asiye na future ni hatari mno. Wanaume ni selfish mno
I mean watu wenye futureWanaume wenye future ni wale tunao wadhalau iwe mwanaume au mwanamke, kibinadamu mtu yeyote akiona anapendwa sana hupata kibulii.
Hata wadada wengi wanzr sana kuolewa inakuwa shida kwa kujiona
Hii ya kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa au kutambulishwa/kutambulisha kwa wazazi, refa huwa ni mwanamke. Hakuna mwanaume atakushikia panga eti umemnyima.Ndio hawana alama ila kujiachia na MTU asiye na future ni hatari mno. Wanaume ni selfish mno
Wala tu hamna mwanaume au mwanamke anayedharaulika wala kudharaulika haku determine future nzuri. Pia kiburi ni tabia tu ya MTU jinsi alivolelewa kuna wanaopendwa na yet wanajiheshimu hawadharau MTU. Pia life halina principles hao wazuri ukiona hawaolewi ujue hawajapata MTU sahihi wa kuwaoa.Wanaume wenye future ni wale tunao wadhalau iwe mwanaume au mwanamke, kibinadamu mtu yeyote akiona anapendwa sana hupata kibulii.
Hata wadada wengi wanzr sana kuolewa inakuwa shida kwa kujiona
Haya bwanaWala tu hamna mwanaume au mwanamke anayedharaulika wala kudharaulika haku determine future nzuri. Pia kiburi ni tabia tu ya MTU jinsi alivolelewa kuna wanaopendwa na yet wanajiheshimu hawadharau MTU. Pia life halina principles hao wazuri ukiona hawaolewi ujue hawajapata MTU sahihi wa kuwaoa.
Mbona hata wabaya huoa na kuolewa kuanzia wafupi ukiona HVO ujue walipata perfect choice na match ya real life. Ndo mana kila mtu ana criteria zake akiongeza na upendo basi kitu INA tick.
Kwani mwanamke hujizini mwenyewe tu au huwa ana zini na mwanamke. Haya mambo ni ya wote wawili kwa vile dunia ya sasa watu especially vijana wansjiona wa digital ndo haya yanatokea. Maandiko yanasema ikimbie zinaa.Hii ya kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa au kutambulishwa/kutambulisha kwa wazazi, refa huwa ni mwanamke. Hakuna mwanaume atakushikia panga eti umemnyima.
Naona sijaeleweka .Kwani mwanamke hujizini mwenyewe tu au huwa ana zini na mwanamke. Haya mambo ni ya wote wawili kwa vile dunia ya sasa watu especially vijana wansjiona wa digital ndo haya yanatokea. Maandiko yanasema ikimbie zinaa.
Uandishi wako umenifanya nitamani mgegedo
Labda kuna misconception somewhereNaona sijaeleweka .
Hakuna haja ya kulalamika wakati umechagua mwenyewe tena kwa vigezo ulivyoviweka ambavyo unaamini ni sahihi. Jambo lolote negative likitokea ujilaumu mwenyewe kabla ya kumlaumu mwingine kwani bila wewe hayo yasingetokea.Hahaaaa eti hupendi hata sisi wanawake tuna vigezo vyetu vya Ku chose. Kwanini wewe ukienda kununua nguo siunaangalia inayokukaa vizuri na kuku fit kulingana na vigezo vyake.
Ndiyo kuwa single mom si jambo rahisi hata kidogo,furaha yangu yote niliyokuwa nayo zamani imetoweka.hata mie nilidhan ni kazi ndogo tu.