Experience yangu kama baby moma

Baby moma naona umetimiza ahadi yako ya kuleta huu mkasa...

Bora useme kitu wadogo zako wa kike wajifunze, maisha sio ya kwenda nayo kasi...

cc: lara 1.....
 
Basi jamaa baada ya kujua ni mjamzito, ikawa kama ndo nimemfukuza mazima. Nikimpigia simu zangu hata hapokei tena, sms hajibu, inshort akakata mawasiliano nami. Kuna wakati nilifikiria kuabort, nikaenda church nikalia sana na kusali. Nilipotoka nikaenda kwa school mate wangu kumwelezea uamuzi naotaka chukua. School mate akanisihi nisifanye hivyo,hapo mimba ina miezi 4.

Basi nikarudi home na kuendelea lea mimba mwenyewe. Kumbe kipindi jamaa ananipotezea alisharudia na yule girl wake. Na vile mambo yake yalikuwa supa haikuwa shida kurudiana.
 
Kwa hiyo ndiyo tusubiri tena au[emoji10] [emoji10]??? ....afu uwe unaaga .sio unatuacha juu juu.
 

ndio imeishia hapo...endelea bana story nzuri sana hii
 
Mimba ilipotimiza miezi 7,nakumbuka ilikuwa dec 2014 ,jamaa akarudisha mawasiliano kwangu.Akasema anafanya kwaajili ya mwanae etc nikamwamini,akawa anakuja kwangu twice a week,napika tunakula tunalala. Nikajua Mungu kanisamehe dhambi yangu kamrudisha, kumbe wakati huo anajiandaa mpeleka yule girl wake kwao kumtambulisha.

Kweli December 2014 akaenda kwao ila akaniomba nimwongezee hela zimempungukia. Nikampa nikijua we on the same page. Akaniahidi kurudi kabla sijajifungua. Lakin siku naumwa uchungu na majirani kunikimbiza hospital, yeye alikuwa anamtolea binti yule mahari.

Nimekuja yajua haya yote baada ya mwaka kupita ,tena ndugu yake wa damu ndo alinipa huo ukweli mchungu.

Ni mwaka wa pili sasa nalea mtoto peke yangu. Si rahisi kama watu wasemavyo. Kwanza nilipozaa tu kidogo nidate kwani nilipata depression. So being a single mom si rahisi hata kidogo. Haijalishi una pesa.
 
Ndiyo vijana wa mjini hawana Resposibilites.... Wapo wapo But it was a lesson kwako ..POLE
just continue~~~
 
[Little Kim:]

Big Momma, keys in Tiawana
Some call me Donna Karan or Armani
Gats for the poonani
For brown nose pussy crushers
Cap peelin others. Ignorant muthafuckas.
Drive a Benz or Miata. This honey's got a
sweet peniata. Six shotta
Little Kim the Black Erika Caine -in
Who remains in Chanel frames and
Animals of all kind.
Russian Fendi sables
with matchin pool tables
Read the Label - MAFIA
Admirin my shoes by Gucci
I be eatin sushi, playin with my coochi
Countin lucci. Nigga I got banks to rob
Convertable Saabs. I'm married to the mob
 
Tulia ulee mtoto, hayo yote huwa mnayataka wenyenyewe kuweka vigezo mnataka wanae flani amazing ndioatoke yake hayo.
Wanawake wengi wamjini mnapenda wanaume warefu mahandsome na kudharau wengine na wao wanajua mnawapenda kwahyo sio shida kuwatesa.
Pia kosa lako lilikuwa kumchukua rafiki wa jamaa, ulionekana unashida sana kufanya hivyo, huenda wao walikuwa hata wanasimuliana bila wewe kujua
 
Ndi
Baby moma naona umetimiza ahadi yako ya kuleta huu mkasa...

Bora useme kitu wadogo zako wa kike wajifunze, maisha sio ya kwenda nayo kasi...

cc: lara 1.....

Ndiyo kuwa single mom si jambo rahisi hata kidogo,furaha yangu yote niliyokuwa nayo zamani imetoweka.hata mie nilidhan ni kazi ndogo tu.
 
Pole sana, wakati mwingine ni vyema kuchanga vyema karata. Kijana ndio alikuwa kapata kazi akawa mzuri tena kwa mpenzi wake zamani it's obvious yeye kubadilika most especially kama aliachwa kwa status yake.
 
Ndi


Ndiyo kuwa single mom si jambo rahisi hata kidogo,furaha yangu yote niliyokuwa nayo zamani imetoweka.hata mie nilidhan ni kazi ndogo tu.
pole sana mwaego lakini umefanya uamuzi wa kijasiri hujatoa mimba uwezekano wa wewe kuja kupata soulmate upo usikate tamaa ishi kama vile hujazaa jipende be smart na nn
 
Wadada kuweni makini mijianaume ya sikuhizi ni zaidi ya ibilisi anakuzalisha then anakutema hapo unakuwa umrkongoroka yeye anaenda kuoa mwingine. Bora kusubiria ndoa tu ili mulee mtoto vizuri. Kwanza kuwa single parent Ku raise child ni issue. Wanawake kuweni makini
 
Hawana alama.
 
Kwani wewe ni mfupi mana naona una criticize wadada wapenda ma tallest na mahechibii every one has its own criteria. Na hii tabia ya mwanaume kutelekeza watoto haina mwanaume mrefu ka kistuli au tall, ni tabia mbovu tu
 
pole sana mwaego lakini umefanya uamuzi wa kijasiri hujatoa mimba uwezekano wa wewe kuja kupata soulmate upo usikate tamaa ishi kama vile hujazaa jipende be smart na nn
Little chances to tell the truth.
 
Kwani wewe ni mfupi mana naona una criticize wadada wapenda ma tallest na mahechibii every one has its own criteria. Na hii tabia ya mwanaume kutelekeza watoto haina mwanaume mrefu ka kistuli au tall, ni tabia mbovu tu
Mm ni mrefu, lakin sipendi tu hiyo tabia yenu
 
Uandishi wako umenifanya nitamani mgegedo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…