Experience ya ajabu. Hivi ndivyo nifanyavyo ninapopata Mshahara

Ahaa, nilikua namtafuta mtu anaemwambia kila kitu mke wangu kuhusiana na mishahara kumbe ni wewe... Ulaaniwe.
 
Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia. Maisha yanaendelea smoothly and peacefully.

Nimesema ni experience ya ajabu haswa kwa uafirika wetu kuruhusu watoto na Mke wajue all that you earn na halafu mpange matumizi kwa pamoja, ni ngumu kwa hulka, but naamini natengeneza amani, upendo na furaha ndani ya familia.

Nadhani ni watu wachache na adimu mno wa calbre hii yangu!!
Na yale mapato mengine nje ya mshahara kama extra duty; vikao kazi; kickback nayo unamweleza mkeo?

Ninavyofahamu wake zetu kama wewe mshahara wako ni wa kada ya chini ukimweleza mkeo unahatarisha ndoa yako maana hataamini kwa huo mshahara mtamudu huduma za familia
 
Hakuna MTU nitakayenruhusu apangie wala aujue mshahara wangu maishani.
Nimeoa kwa ndoa kwa miaka sita na ni mfanyakazi na Mungu kanijalia maendeleo ya kutosha kama kijana na nikijilinganisha na vijana au wafanyakazi wenzangu na Nina ndoa yenye amani.
Ni hatari kushirikisha MTU mshaharara hasa mke maana anabadilika na kuwa boss wako .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia. Maisha yanaendelea smoothly and peacefully.

Nimesema ni experience ya ajabu haswa kwa uafirika wetu kuruhusu watoto na Mke wajue all that you earn na halafu mpange matumizi kwa pamoja, ni ngumu kwa hulka, but naamini natengeneza amani, upendo na furaha ndani ya familia.

Nadhani ni watu wachache na adimu mno wa calbre hii yangu!!
Ni nzuri ila inategemea na hali. Ikiwa umeajiriwa serikalini au kwa kifupi una ajira ya kudumu hiyo unaweza kufanikiwa kwa kuwa utakuwa ni utaratibu was kawaida kabisa kwa familia yako.Ila siku ukiwa huna kazi na hicho cha kugawana na kupanga matumizi kikikosekana ndio utajua ubaya wa hii kitu kwanza aibu,p yako itashuka kwani hata mtoto wako atajua huna kitu,kwa mkeo nako heshima itashuka.Sasa natumai kwa sasa unaendelea vizuri na kazi.Ili kuthibitisha kama uzoefu huu ni wa muda au wa kidumu,fanya jaribio mwezi mmoja usije na mshahara,utie benki wote kisha tafuta sababu yeyote ile ili utaratibu wa kawaida usiwepo halafu chukia experience ya mwezi huo kuona kama siku ukikosa mshahara maisha na amani unayoijenga sasa itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom