kenge mwekundu
Member
- Apr 3, 2016
- 67
- 26
wakuu niliomba nafasi ya kazi expart linkers company ya legal officer tangazo wiki mbili zilizopita jana nimetumiwa email na kutumiwa meseji kwenye simu wananambia niende interview lakini kabla ya kwenda nilipie elfu ishirini na tano 25000 kwanza kwenye namba wameiweka pale inaishia na ishirini mwishoni jina mwakinge kufuatana na maelezo yao hiyo elfu ishirini ni kwa ajili ya gharama za kulipia venue na chakula cha maintervieweee, lkn mimi nimejiuliza maswali kwamba suala la recruitment process na gharama zake zinakuwa juu ya mwajiri iweje nitoe mimi ninaetafuta kazi, nitafute nauli ya kuendea kule bado nitafute hela ya kuwanunulia chakula wanaonifanyia kama nilikuwa na hiyo hela kuna haja gani ya kuomba kazi, hebu nishaurini ndugu zangu maana mwisho wa kutuma ni kesho tarehe 14