Expartlinkers interview

Apr 3, 2016
67
26
wakuu niliomba nafasi ya kazi expart linkers company ya legal officer tangazo wiki mbili zilizopita jana nimetumiwa email na kutumiwa meseji kwenye simu wananambia niende interview lakini kabla ya kwenda nilipie elfu ishirini na tano 25000 kwanza kwenye namba wameiweka pale inaishia na ishirini mwishoni jina mwakinge kufuatana na maelezo yao hiyo elfu ishirini ni kwa ajili ya gharama za kulipia venue na chakula cha maintervieweee, lkn mimi nimejiuliza maswali kwamba suala la recruitment process na gharama zake zinakuwa juu ya mwajiri iweje nitoe mimi ninaetafuta kazi, nitafute nauli ya kuendea kule bado nitafute hela ya kuwanunulia chakula wanaonifanyia kama nilikuwa na hiyo hela kuna haja gani ya kuomba kazi, hebu nishaurini ndugu zangu maana mwisho wa kutuma ni kesho tarehe 14
 
nimejaribu kugoogle hilo kampuni kazi zake sizioni mi natoa ushauri kwa vyombo vyote vinavyorusha matangazo ya kazi kabla halija fanya hivyo lichunguze kwanza kama kuna kampuni kama hiyo au ni aina ya utapeli kuliko kusumbua watu, watangaze kitu chenye uhakika nacho sio otherwise
 
Back
Top Bottom