Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

Naomba kuuliza vyombo vya habari na Jeshi la Polisi, kuhusu milipuko ya Mabomu Arusha.Kwanini hamja wahusisha na kuwakamata Waarabu safari hii? Au imetosha kupandikiza chuki za kidini nchini? Maasokufu hatuja sikia tamko lenu bado?.

Truth survives forever, it is beyond Propaganda, corrupt Politicians, fake religious figures and dubious Media.
 
Join Date : 16th June 2013
Posts : 17
Rep Power : 304
Likes Received1
Likes Given0

mnatuchosha! yaani unashindwa hata kupitia thread za wengine humu, hadi uanzishe ya kwako? disgusting! au unataka kutupima kama tumepotezea, issue bado sana hii!
 
Utasingizia vipi Waarabu wakati aliyepanga njama anafahamika ? Kila kitu kiko clear mkuu !
 
by @ najua hawawezi kukubali kuwa ndio wahusika lakini ukweli ni huu hapa chini :



Mambo yaliyotokea juzi nchini hasa arusha yana chimbuko lake...ni mambo ambayo hayaji hivi hivi na kwa gafla...yana mzizi wake . lengo la mambo yote haya tageti yake kubwa ni kuimaliza chadema kisiasa na kuhakikisha kufika mwaka 2015 kinakuwa chama jina. Huu ndio mkakati mahususi ambao uliasisiwa mwaka jana na deadline yake ni june 30 mwaka huu .
Kuna mambo mengi yametokea huko nyuma yenye kuwa na lengo la kuimaliza chadema .. na katika mambo hayo kulikuwa na mbinu nyingi zimetumika lakini zilishindwa na hazikufanikiwa kuzima na kuififisha chadema..


Baada ya hapo ndipo sasa ukabuniwa mkakati huu unaoendelea na ambao taget yake kubwa katika tukio la juzi ilikuwa ni kumuua mh.Mbowe. (unampiga mchungaji na kondoo wanatawanyika)...Bahati nzuri Mh.mbowe yuko hai lakini ajiangalie sana tena sana maana wamepania kummaliza. .


Kwa kuwa chadema imejipambanua kwa wananchi kuwa ni chama kinachotetea wanyonge na kinakubalika zaidi; hili ndani ya ccm halifurahiwi hata kidogo na hasa ikizingatia kuwa isingekuwa kufanya utaratibu mwingine mwaka 2010 katika uchaguzi wasingeweza kushika dola maana mshindi wa uchaguzi ule hakuwa kikwete.


Wafuatao ndio wanatakiwa kukamatwa mara moja na kama hawakatwi chadema na wananchi wanaolipenda taifa hili wahakikishe watu hawa wanavuliwa madaraka yao mara moja.


1. Emmanuel Nchimbi.....huyu ndiye anajua chanzo cha jambo hili na hasa tukio la juzi la ulipuaji bomu huko arusha.. anajua aliyesafirisha bomu toka china hadi kulifikisha nchini pamoja (mzizi)


2. Mwigulu nchemba...huyu ndiye aliyepewa maazimio ya utekelezaji na ufanikishwaji wa matukio hayo ya mlipuko na ahakikishe yanatekelezeka..akikamatwa huyu ataeleza kwa ufasaha pia namna alivyoipata kofia ya jeshi la china anayoonekana kuivaa hivi karibuni ..huyu ndiye mratibu .


3. Mtela mwampamba....huyu ameshirikishwa jambo hili na mwigulu nchemba ..kuna baadhi ya majukumu amepewa ikiwa ni pamoja na kuwalipa pesa vijana wanaotekeleza mashambulio hayo kupitia akaunti zao za benki.


4. Advocate Nyombi....huyu kama kiongozi mkubwa katika jeshi la polisi ndiye anahusika na kupanga mbinu za namna ya kutekeleza mashambulio na pia jukumu lingine ni kuhakikiha anapata vijana wanaoweza kuifanya kazi hiyo ambao wanatoka katika jeshi la polisi,


5. Afande pasua....huyu anahusika kwa kulisafirisha bomu hilo hadi arusha akitokea Dsm na pia ndiye anahusika na kuendesha gari lililowabeba walipuaji mara baada ya mlipuko kutokea hapo soweto


6. Afande benjamini.....huyu pia kama iliilivyo kwa afande pasua nae ni mmoja wa vijana waliotafutwa na nyombi. Huyu anahusika kwa kubeba na kusafirsha silaha (bastola &SMG) hadi arusha kwa gari binafsi na alipofika huko arusha alikutana na askari wengine watatu ambao ndio walikuwa wakirusha risasi siku ya mlipuko na mmoja alirusha bomu.


Ili kuzuia machafuko haya yasijirudie hawa watu ni muhimu wakamatwe mara moja ..la kama hawakamtwi basi wananchi hakikisheni wanavuliwa madaraka waliyo nayo vinginevyo haya mambo yataendelea na hakuna atakayekamatwa na watakuja na mbinu nyingine

Tarehe 10 /4/2015 ukiondoa Emmanuel nchimbi hawa wengine waliopo hapa katika list hii walikutana Dodoma na kupanga mbinu na kugawiana majukumu ya kufanikisha tukio la mlipuko na waliendelea kuwasiliana kwa njia za kielectroniki..
siku moja kabla ya kikao hiki kulikuwa na kikao kingine hapo hapo Dodoma kilichofanyika tarehe 9/4/2015 ambacho waliohudhuria kulikuwa na makada wengine ambao wamewahi kuwa chadema kisha kufukuzwa , waliohudhuria ni pamoja na:

1. Mwigulu nchemba
2. Henry matata
3. Mtela mwampamba
4. Adamu chagulani
5. Advocate nyombi
6. Afande pasua
7. Afande benjamini
Kikao hiki hasa kililenga kupanga ushahidi wa kesi zinazoendelea hasa za tukio la lwakatare na pia la kesi ya huko igunga ya umwagiaji tindikali.. ushahidi mwingi ulipangwa na kutungwa siku hiyo.

kwa leo naishia hapa

NB: msitegemee arusha kutakuwa na uchaguzi june 30.
 
Kijana karibu sana jf , Jazba na Mapovu humu huwa hazisaidii chochote ! Kuwa mpole utasaidiwa , Mbowe amekataa kumpa Ushahidi CHAGONJA , Maana haaminiki !
 
Are you sure malyenge (isijekuwa unafikiri kwa makengeza/Malyenge)

Ukweli unaujua kabisa na historia ya Arusha unaijua kabisa kabla ya Lema hajawa mbunge. Ila umeamua kuleta ubishi ili ndani ya ubishi huo uchomeke neno la kebehi tu.
 
Naomba kuuliza vyombo vya habari na Jeshi la Polisi, kuhusu milipuko ya Mabomu Arusha.Kwanini hamja wahusisha na kuwakamata Waarabu safari hii? Au imetosha kupandikiza chuki za kidini nchini? Maasokufu hatuja sikia tamko lenu bado?.

Truth survives forever, it is beyond Propaganda, corrupt Politicians, fake religious figures and dubious Media.

Maaskofu wanataka mfumo kristu utawale........
 
Vyama vya upinzani bado sana.......................Unapoorodhesha viwanda vilivyokufa kwa kusema viliuawa na CCM bila kueleza wewe utavifufuaje na utafanyaje kuhakikisha havifi utakapovifufua unadhani unakuwa umetoa suluhisho gani kama si ubabaishaji? Maneno kama vile "CCM imeua nchi......." tumeanza kuyasikia toka mwaka 1992 lakini mpaka sasa nchi iliyokufa bado watu wake wanasimama majukwaani...Ina maana gani ikiwa nchi imekufa raia wake mbona bado wako hai? Huo wizi uliotokea miaka hiyo ya 1980 si ndo waliua watumishi wa umma walioteuliwa na Nyerere? Mbona ikifika kulaumu nani aliyeua uchumi wa Tanzania huwa hawasemi ukweli? Mbona wanasema CCM.....? Unaposema CCM imeua nchi ama uchumi wa nchi Nyerere unamuondoa vipi kwa hili? Mbona huwa hawamtaji Mwalimu Nyerere? Au ni kwa kuwa Vincent Nyerere yuko CHADEMA?
 
Mh Godbless Lema ni kiongozi kweli kweli kama kuna mtu anayebisha basi huyo akili zake zina walakini au ana wivu,kama mmemsikiliza pale aliposema watu wa kaloleni hapa patabomolewa wajenge Gorofa sasa kasema kwa kuwa Chadema tutakuwa ma madiwani wengi kwa Halmashauri nimewapa mawazo haya Wakiwahamisha hapa na wakajenga gorofa wawahamishie gorofani,na wakijenga pale wakiwahamisha then wawahamisie Gorofani hii mawazo kama ya viongozi wa Ulaya yaani hakuna ubishi kama kuna watu waliowahi kuishi Ulaya hii ndio style ya Ulaya.safi sana Chadema kweli ina viongozi na sio watawala.
 
Mohamedi Mtoi asante sana niliingalia vizuri sana hadi mwisho, tukio lenyewe linaanza baada ya lisaa limoja dakika ya ishirini na moja sekunde ya hamsini plus (1:21:50..) Kuna watu ni mashetani zaidi ya shetani mwenyewe.
Bado hata hii haina sehemu ya tukio la bomu kulipuka.maana inaonyeaha mziki unaendelea na baadae watu wamelala chini.hata kishindo cha bomu hakisikiki.nafikiri pia imekuwa edited na kuna kipande kimeondolewa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom