Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Wakuu.
Nimekutana na hii video nyingine ya mlipuko wa bomu la Arusha.
Bofya hapo chini
EXCLUSIVE VIDEO YA MKUTANO WA CDM ULIOSHAMBULIWA SOWETO ARUSHA - YouTube
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
Dah, bahati mbaya na hii haionyeshi aliyerusha bomu. Lakini angalau inatoa ushahidi kwamba si kweli kwamba mwenyekiti aliondoka eneo la tukio kwa makusudi kama alivyosema Mwigulu, bali alikuwa anachangisha hela kutoka kwa wanachama. Na pia inaonyesha kwamba milio ya risasi ilifuata immediately baada ya bomu kulipuka na si kweli kwamba polisi walipiga risasi baada ya wananchi kuwafukuzia na kuwapiga kama ambavyo wamejitetea. Ni dhahiri kwamba madhara yalipagwa yawe makubwa kuliko haya. Na uamuzi wao wa kupiga risasi tank la mafuta la gari la matangazo ni dhahiri walitaka kutengeneza mlipuko mbaya ambao ungekuwa na maangamizi ya kihistoria. Tunamshukuru Mungu alizuia tank la mafuta lisilipuke.Wakuu.
Nimekutana na hii video nyingine ya mlipuko wa bomu la Arusha.
Bofya hapo chini
EXCLUSIVE VIDEO YA MKUTANO WA CDM ULIOSHAMBULIWA SOWETO ARUSHA - YouTube
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
Ya Lwakatare ni edited. lakini hii ipo natural. Sema ni scene gani ipo edited hapo?Video ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya watanzania.
Kwani lazima kila kitu uchangie? sometimes silence is the best toolVideo ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya watanzania.
Hii ndio Video ya Mbowe? Usituchanganye
Moja ya mafunzo ya police ni kulinda crime scene, lakini baada ya mlipuko, kulichofuatia ni milio ya risasi. Je huo mkutano haukuwa na watu wa usalama pamoja na Policcm?
Video ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya watanzania.
Video ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya watanzania.