Kadri mambo yanavyokwenda,nadhani JK na EL watageuka kuwa maadui kama paka na panya.Wahenga walisema USHIRIKA WA WACHAWI HAUDUMU
Kabisa kabisa sijawahi kusikia umedumu, wataanza kutafyutana kwa waganga zaidi yaoKadri mambo yanavyokwenda,nadhani JK na EL watageuka kuwa maadui kama paka na panya.Wahenga walisema USHIRIKA WA WACHAWI HAUDUMU
Hio itakua blunder kubwa sana!Nd'o utasikia jamaa keshanunuliwa eti!Nasikia Zitto atakuwa ndani ya nyumba...
Ni kitu ambacho kinanishangaza sana kusikia kuwa watu wanaona kama ni uchuro kwa watu wa opposition kuwa ndani ya baraza la mawaziri, sijui ni katiba gani au sheria gani ya CCM inayokataza mtu kutoka opposition kupewa nafasi ya uwaziri. Kama kuna mtu kutoka nje CCM anayeweza kuhsiriki kutekeleza ilani ya CCM au kipengele kinachofanana na ilani ya chama chake inayohusu maslahi ya taifa kuna tatizo gani?
Naona CCM mentality ina kitu kibaya cha sisi huku, wao kule. Kama kweli JK ataingiza mtu japo hata mmoja kutoka opposition itakuwa vizuri sana. La muhimu ni maslahi ya taifa na sio ya CCM.
Mwanakijiji kama unanipata naomba nijulishe COHEN aliyekuwa waziri wa Ulinzi wakati wa serikali ya BILL CLINTON alikuwa chama gani!! Kama alikuwa Republican labda mtu anaweza kusema DEMS waliishiwa watu wa kuwa minister of defence!!!
EL aliamini kuwa six atazima ngoma kwa kuzima ripoti, kutokana na ile jamba jamba aliyomtia kwenye kesi ya Malima, and six almost did, lakini hakujua kuwa Mwakyembe, alikuwa amepewa green light na muungwana, maana at one point hata Mwakyembe mwenyewe hakuwa na uhakika kuwa ripoti itakubalika, mpaka alipokwenda kumuona muungwana uso kwa uso na ripoti na kupewa go ahead, six alipotaka ku-punch na gear ya kusafiri, muungwana, alimpigia simu kumuuuliza unakwenda wapi? forget hiyo safari tulia hapo ninakuja, muungwana hakuenda Muhimbili kwa Kubenea bila sababu, na Mwakyembe hakuiweka kwenye ripoti bila sababu, and the rest of the story,
lakini walikuwa wameshaachana njia panda siku nyingi, na sio kwa bahati mbaya muungwana amempa mtu wa idara u-PM, kuna sababu nayo ni el!
Wazee mi niliamini kuanzia mwanzo report ya Mwakyembe itazua mambo mengi ambayo hatujui (it was too professionally compiled to be left without protest from the victims..Hawakutegemea kwamba kuna daring Tanzanians!!!). Politics is a game and who scores takes the cup! EL played well ila aliondoka kama Cameroon. Politically Lowassa is now wounded badly. Influence yake ilikuwepo wakati bado ana-call shots kwenye system. Guys make no mistake, when you are out..you are out! Kama unabisha muulize Sumaye..the man was too powerful to ever think his life outside politics..where is he? Take it from me! all subordinates walikuwa wanamuogopa kwa sababu ya cheo. Currently Lowassa is not and will never be a threat to JK!
Hili suala la El kuwa tishio kwa JK ni kweli sana tu, si utaona kwani JK atamfanya nini? Hatomfanya chochote kile mali na pesa zake zote atabaki nazo na zitaendelea kuzalisha mamilioni ya hela hapo hapo Tz. Trust me wakati El akiiba haya mamilioni, yeye JK alikuwa anajua sana na alikuwa anaona, there is a connection bwana, sema tu Tz ni waoga bado, we have no balls to impeach a president, hata kama amefanya kitu kama hiki, tunaangalia pembeni tu kama vile makondoo fulani. And guess what, the easy way out ni El na JK kuongea na kukubaliana bwana EL wewe acha kazi tu sasa, kwani JK akiacha kazi si kifo kwa CCM, na unajua What CCM stands for.
Always keep in mind hii issue itakufa tu kimya kimya na El na JK will never be enermies. kwani Jk ndio ata-lose a lot kama urafiki na EL utageuka kuwa mchungu.
Just think kwa budget ya Tz, dola milioni200 zitapitishwaje bila ya waziri wa fedha kujua na raisi kujua, hata USA yenyewe lazima Bush ajue tu hizo hela zinakwendaje, Je where is the Parliament and where was the Parliament? Wanalala tu bungeni kwa kushiba sana eeh.