* Exclusive Scoop *

Mkuu andika hoja, sidhani kama kuna kichekesho humu JF zaidi yako maana wewe ni kusubiri Lunyungu aandike kwanza ndio urukie mkuu,

Hapo juu unajaza uchafu tu hoja huna mkuu, tafuta hoja kwanza ndio ujibu, kama huwezi waachie wengine, msimamo huna mkuu kaaa pembeni!

Kuwa kichekesho ni sehemu ya JF kwani ni mahala pa kuburudisha, lakini kuwa muwongo kama wewe sio sehemu ya JF ndio maana unakuwa wakuonewa huruma tu na hizo "diar-rhoea postings" zako...
 
The greatest lesson in life is to know that even fools are right sometimes


Kuwa kichekesho ni sehemu ya JF kwani ni mahala pa kuburudisha,

Yaaani hapa JF kwako ni mahali pa kuburudisha, wakati wanaume tunajadili taifa, wewe unakuja kuburudisha, no wonder hizo quote zimeandikwa na mtu mmoja,anayekuja hapa kuburudisha!
 
Yaaani hapa JF kwako ni mahali pa kuburudisha, wakati wanaume tunajadili taifa, wewe unakuja kuburudisha, no wonder hizo quote zimeandikwa na mtu mmoja,anayekuja hapa kuburudisha!

Si unaona unavyojiabisha.. saha ile sehemu ya burudani hapa JF kazi yake nini? ukiambiwa una mawazo mgando unakuwa mbogo...
 
Hapa ni mahali pa kukata ishus, sio kuburudisha, lowassa ametoka kwa kupigwa mawe kutoka hapa, hakutoka kwa kuburudishwa, hapa ni mawe tu mkuu!
 
Back
Top Bottom