Exclusive Report: State of Air Force: Corruption has a price!

source: Air-Britain Information Exchange

And not somewhere else...

Is it a reliable source?

BTW: Here is the JWTZ-205 in a Chinese air museum

attachment.php

0808367.jpg
 
Thank God I have gone through the report.....All in all we don't have any air force security....Hawa viongozi wetu kazi yao ni kuangalia maadui wao wa kisiasa na wanaotishia ulaji wao katika nyadhifa walizonazo ila akitokea Amini mwingine this time nasi tutabadilika jina na kuwa Wakimbizi. Hatutakua na ubavu wa Kupambana. jeshi letu huenda likawa imara kwa kupambana na maandamano ya wadai haki wa Ndani na Si maadui wa Nje.

Kama hizi habari zipo mpk kwenye G' earth je maadui zetu hawawezi kuzitumia kama weakness??? au kwa sasa Tz haina maadui??? Hata usalama wa ndani u mdg, matukio ya Ujambazi na Unyang'anyi yanaripotiwa kila kukicha. haya Mapolisi na Magereza hali mbaya. Then jeshi kumbe nako Hoi...Sasa sisi tuna kitu gani cha kujivunia??? Na ni kweli hawa viongozi wetu hawalijui hili??? Ipo siku hata haya Mashangingi wanayobadili kwa kila toleo yatakua hayapandiki ndo watakapojua umuhimu wa kulidumisha jeshi.

Tutakukumbuka daima Mwalimu.(R I P)
 
Swali la kujiuliza ni ile rada ya kijeshi-kiraia tuliitumia kwa ajili ya nini hasa?
 
Sijui hapa unataka kusema nini,kwamba fedha zilitolewa na Serikali kununua ndege mpya,lakini zimeibiwa? Au unataka kusema nini? Mimi nilikuwa Air Force pilot. Hizi report za ndege kuanguka sijazipata bado[sasa hivi nipo Singapore],nimetoka Dar es Salaam takriban two weeks ago,sasa hii ajali sijui imetokea lini.
Lakini hizi report ni misleading,kwa sababu Air Force wako mbioni kununua ndege mpya kutoka China. Nilikutana nao,wakaniambia wanakwenda Beijing kutafuta ndege mpya.
 
This is pathetic dah kweli nakubaliana na wewe Mwanakijiji ukitaka kumua mtu anza na weakest point zake. Mafisadi walianza na area wakijua wakiwa na jeshi la mafisadi na usalama wa taifa fisadi basi wanaweza kutawala nchi. Mie nauliza tu zile bilioni wanazoziomba kila siku katika budget zinaenda wapi? Pia naomba kuuliza tena tunapataga msaada wa kijeshi kwa nchi wahisani huenda wapi? Pia according to some information from UN nchi ikienda kulinda umoja wa mataifa hupata si chini ya $1-$2 Billion (yaani kama trilioni 1 - 2) zinaenda wapi? Jamani tutaiba mpaka lini?
 
Sijui hapa unataka kusema nini,kwamba fedha zilitolewa na Serikali kununua ndege mpya,lakini zimeibiwa? Au unataka kusema nini? Mimi nilikuwa Air Force pilot. Hizi report za ndege kuanguka sijazipata bado[sasa hivi nipo Singapore],nimetoka Dar es Salaam takriban two weeks ago,sasa hii ajali sijui imetokea lini.
Lakini hizi report ni misleading,kwa sababu Air Force wako mbioni kununua ndege mpya kutoka China. Nilikutana nao,wakaniambia wanakwenda Beijing kutafuta ndege mpya.

So unataka kunambia hawana stock taking inaonyesha mahitaji vifaa vya jeshi tangia mara mwisho waliponunua? Sioni justification ya kuwatetea hapa?
 
Sijui hapa unataka kusema nini,kwamba fedha zilitolewa na Serikali kununua ndege mpya,lakini zimeibiwa? Au unataka kusema nini? Mimi nilikuwa Air Force pilot. Hizi report za ndege kuanguka sijazipata bado[sasa hivi nipo Singapore],nimetoka Dar es Salaam takriban two weeks ago,sasa hii ajali sijui imetokea lini.
Lakini hizi report ni misleading,kwa sababu Air Force wako mbioni kununua ndege mpya kutoka China. Nilikutana nao,wakaniambia wanakwenda Beijing kutafuta ndege mpya.

Inawezekana unaona umesema kitu cha hekima kweli hapa. Tuna kazi ndugu yangu. Sasa hata kama hujui kuna ajali imeua marubani wetu wawili wiki mbili tu zilizopita si itakuwa kazi kuanza kukuelezea.
 
Sijui hapa unataka kusema nini,kwamba fedha zilitolewa na Serikali kununua ndege mpya,lakini zimeibiwa? Au unataka kusema nini? Mimi nilikuwa Air Force pilot. Hizi report za ndege kuanguka sijazipata bado[sasa hivi nipo Singapore],nimetoka Dar es Salaam takriban two weeks ago,sasa hii ajali sijui imetokea lini.
Lakini hizi report ni misleading,kwa sababu Air Force wako mbioni kununua ndege mpya kutoka China. Nilikutana nao,wakaniambia wanakwenda Beijing kutafuta ndege mpya.

Mkuu hivi hujapata taarifa zifuatazo????????

1. Serikali iko mbioni kujenga daraja la kigamboni.

2. Serikali iko mbioni kujenga flyovers in Dar kupunguza foleni.

3. Serikali iko mbioni kuhakikisha kila mwanafunzi Tanzania anakuwa na Computer.

4. Serikali iko mbioni kujenga satellite city Ilala itakayogharimu US$ 500bn.

5. Serikali iko mbioni Kujenga bandari, Airport na University Bagamoyo.

6. Na hiyo unayotupa sasa kwamba Airforce iko mbioni kununua ndege mpya.

Infact watanzania tuko mbioni, kuwa mbioni kuelekea uchaguzi wa kutafuta wanambioni ambao ni mafisadi walioko mbioni.
 
Nyambala sijui kama umesikia hotuba ya JK kwenye mkutano Mkuu.. ni kama hotuba ya "tuko mbioni"..
 
Back
Top Bottom