Kuna mwaka tutapishana na watu barabarani hawajavaa nguo kabisa na wala hawana matatizo ya akili! Kweli nguo inafika imekuacha wazi mpaka mfereji wa makalio uko nje kweli mtu anaona ni sawa tu! Hata kama ni uhuru wa mavazi kwa mvaaji, na wavaaji wajue stara ni nini khaa...
Na REDDS nao kama ndio wako behind the idea of such tiny costumes to those ladies, wanastahili fungu lao la lawama pia!