Exclusive picture - Miss REDDS TZ 2010

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
IMG_0798.jpg IMG_1699.jpg IMG_1464.JPG IMG_1918.jpg IMG_1932.jpg IMG_1708.jpg IMG_1743.jpg IMG_1717.jpg IMG_1751.jpg
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kazi kwelkwel!!!!!!!! hivyo vivazi!!!!!!!
 
Kuna mwaka tutapishana na watu barabarani hawajavaa nguo kabisa na wala hawana matatizo ya akili! Kweli nguo inafika imekuacha wazi mpaka mfereji wa makalio uko nje kweli mtu anaona ni sawa tu! Hata kama ni uhuru wa mavazi kwa mvaaji, na wavaaji wajue stara ni nini khaa...

Na REDDS nao kama ndio wako behind the idea of such tiny costumes to those ladies, wanastahili fungu lao la lawama pia!
 
kwakweli ni aibu, huyo mdada hakujua kama hiyo sketi imevuka?
Ni kama alikuwa anacheza show vile?
 
... Ule muda wa sheria ya mavazi Tanzania umewadia..!! Si Hijabu Ninja Type.., [Pweza Paolo anajua]., Ni mavazi ya heshima yenye kumsitiri mtu. Wanaharakati tunakuna vichwa hapa...:confused2:
 
Huo unaitwa utumwa na umaskini wa fikra. Kila wanachofanya wenzetu "weupe"sisi tunaiga kwa kufikiri ndio bora na sahihi. Wameendelea kutuita maskini, nasi tunakubali kuwa ni maskini. Inawezekana ni kweli maskini, maskini wa fikra.
 
Napata tabu kujua kwa dhahiri kama promotion hii inahusu redds au hawa ladies wenye business isiyosemwa bayana;maana kwa kuangalia picha hizi naona kuna promotion inayoweza kuvuta mawazo ya watu zaidi ya ile iliyokusudiwa.
 
kwakweli ni aibu, huyo mdada hakujua kama hiyo sketi imevuka?
Ni kama alikuwa anacheza show vile?

Nilishawahi kusema ipo siku badala ya kuacha sehemu ya matiti kina dada wataacha sehemu ya ****** naona kauli yangu inatimia sasa.. hizi ni fasheni tu na hii itapita!
 
fideline iranga ndo amevaa nini?

huyo mneguaji hata nimeshindwa na comment kwa kweli ....................hopeless kabisa
 

sometimes huwa najiaminisha kuwa tunaoishi hapa duniani wote si lazima tuwe wanadamu wa kawaida...nadhani pia kuna idadi ya kutosha ya majini na maajenti wa shetani kati yetu! tunaishi nayo....yanashiriki katika matamasha mbalimbali na hujiingiza pia kwenye vinyang'anyiro......
mix with yours
 
Hivi Tanzania kuna "Reed Dance"? Hayo mambo nilikuwa nayaona kwa King Mswati kumbe na TZ tumenogewa na tunaaza taratibu kupenyeza huo mfumo kwa gharama ya Bia?

Vueni nguo kabisa ili tujue moja!
 
Alafu huyo Fide sioni uzuri wake wowote zaidi ya kuvaa kiajabu ajabu tu.
Akitabasabu ndo anakuwa kama mdudu.
 
Back
Top Bottom