Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Mleta thread yuko Dar
atatoaje updates za mechi za Tanga, Kagera et el. Walio kwenye viwanja
vingine waanzishe threads nyingine watu update.

Aisee...., kwa hiyo kila mechi ww unaona ni bora iwe na thread yake?
 

mambo ya esho ni hatari tupu huku azam kule city yereeeeee uwiiii...
 
sawa, ila ili jukwaa ni la sport, timu sio yanga na simba tu, watu wanataka updates za timu nyingine pia kwan kwa ujumla wao ndio zinafanya uwepo wa ligi kuu ya tanzania, ni vizuri kuweka mechi zote na kuzi update pia.

hcho kijamaa c ndo kimeanza kushabikia mpira enzi za mbeya city? Hapo ukimuulza kabla ya mbeya city alikuwa anashamgilia timu gan atakutolea mijimacho tu kama anachimba viazi kikondo vile.
 
Simba wanajikita kileleni zaidi leo....
 
Leo leo wale wakare wapya kwenye mchuano huu unaoendelea,na walomtoa jASHO BINGWA mtetezi Dar Yanga leo wanatupa tena upinde wao kuona je wanaweza kumchezea sharubu Simba...

utwalubunju...

Stay alert...Simba fc vs Mbeya City
Kikosi cha Simba vs Mbeya CC

Dhaira,
Galas, Baba ubaya, Kaze na Owino,
Mkude, Kiemba na Henry, Tambwe, Mombek na Chanongo
 
mleta thread yuko dar atatoaje updates za mechi za tanga, kagera et el. Walio kwenye viwanja vingine waanzishe threads nyingine watu update.

acha u.f...la wewe kwan kila habar unayoisoma hapa mleta mada anakuwa eneo la tukio?
 
[h=5]NIONAVYO MIMI KUELEKEA VPL UWANJA WA TAIFA SIMBA VS MCC

MCC leo watakuwa ugenini kucheza na timu ya SIMBA SC ambayo imeanza kukaa vizuri kwenye ligi.MCC ni timu ambayo inacheza mpira mzuri na inaundwa na vijana wadogo sana lakini,naiheshimu sana SIMBA SC ambayo pia kwa asilimia 80 inaundwa na vijana wadogo pia na wenye hari ya ushindi

MCC itawatengemea vijana wake wa Kitanzania STEVEN MAZANDA na bwana mdogo FIDELIS CASTOR huku upande wa Simba ukiongozwa na TAMBWE na CHANONGO.watu wangu wa DAR msifanye vurugu,mpira sio ugomvi!!

Kuangalia ligi ambayo mchezaji kufunga Hat-trick ni kazi,ndicho kinachopelekea tukio hilo likitoke iwe ISSUE YA KITAIFA!! Muda si mrefu watu watasahau jina la Mtanzania fundi, baba wa mababa AMRI KIEMBA.

All in All MCC wanakibarua kigumu sana kushinda mechi ya leo labda wabahatishe sare
[/h]
hapa uwanjani Taifa kama kawaida askari na wadau wengine wamejipanga vema kutengeneza pesa! Tiketi za kieletroniki tutasubiri kwa Krismasi nyingi sana! Wanaongezea cha juu katika zile siti za wenye nazo!
 
mleta thread yuko dar atatoaje updates za mechi za tanga, kagera et el. Walio kwenye viwanja vingine waanzishe threads nyingine watu update.

acha u.f...la wewe kwan kila habar unayoisoma hapa mleta mada anakuwa eneo la tukio?hata hvyo huyo jamaa hayupo dar yupo mbeya.kwa nin acngeleta uzi wa mtibwa na prison?
 
acha u.f...la wewe kwan kila habar unayoisoma hapa mleta mada anakuwa eneo la tukio?hata hvyo huyo jamaa hayupo dar yupo mbeya.kwa nin acngeleta uzi wa mtibwa na prison?

hapo kwenye red yani usipopigwa ban na mods kwa kuleta lugha ya matusi ntashangaa sana
 
acha u.f...la wewe kwan kila habar unayoisoma hapa mleta mada anakuwa eneo la tukio?

punguza jazba mkuu.., japokuwa unachosema ni kweli tupu, mara ngapi mkuu MANDIETA anaanzsha thread na inavutia kwa jinsi anavyokuwa anaisimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…