Exclusive interview with Mohammed Dewji

Swali:

1.Kampuni ya Metel ina miliki mashamba ya katani yenye ukubwa wa hekta ngapi mkoani Tanga? ana aliyanunua kwa kiasi gani?

2.Tangu amiliki mashamba ya mkonge ameweza kuinua kilimo cha mkonge kwa kiasi gani?
 
Hili namjibia:

Kwa sababu:

Wafanya kazi wa Kitanzania wengi ni wavivu, wezi, waongo, hawaishi kufiwa na kuomba ruksa za kwenda kuzika, hawau=ishi kuumwa, hawaishi kuwa na kila sababu za kutokuhudhuria kazini. Watu wa India wanajuwa dhiki ya maisha na vipi kupata kazi ni kugumu na wao huchapa kazi na hawana visingizio kama Watanzania.

Inapaswa Watanzania wanaotaka maendeleo ya haraka wabadilike.

To shorten the answer we Tanzanians either with asian origin or 100% matumbi breeds we don't have working culture including Mo who was born in Singida IMO.
 
Hapa naunga mkono kabisa, watanzania si waaminifu hata kidogo, kazi ya laki moja itafanywa kwa laki nne na nusu, kwa mtu kama Dewji ni kupoteza muda tu, Lakini mheshimiwa basi atuaidie ku prove, ameshawahi kuibiwa katika kampuni yake? Kiasi gani, na je watu weusi ni asilimia ngapi?

Na vipi mahudhurio between waindi na watu weusi kuna tofauti? kama ipo by how much pamoja na suala la kuchelewa kazini. Na je mshara on average ni kias gani kweye kampuni yake, akiondoa top layer? na anawafanyakazi wangapi in total, na katika hao wako makundi mangapi kwenye scheme of service na huko ni uiwano upi uliopo kati ya weusi na weupe, na pay yao in acsending order!
Natumai hatachoka kutujibu.

Halafu Fina, ujue si wote tutasikiliza kipindi, baadae urudi hapa upost ,majibu yake, nia maana si wote tuko TZ pia, na hata huko TZ wengine watakuwa hawana muda wakati huo ama hiyo raio haifiki kwao.

Naomba kuwasilisha
Hili namjibia:

Kwa sababu:

Wafanya kazi wa Kitanzania wengi ni wavivu, wezi, waongo, hawaishi kufiwa na kuomba ruksa za kwenda kuzika, hawau=ishi kuumwa, hawaishi kuwa na kila sababu za kutokuhudhuria kazini. Watu wa India wanajuwa dhiki ya maisha na vipi kupata kazi ni kugumu na wao huchapa kazi na hawana visingizio kama Watanzania.

Inapaswa Watanzania wanaotaka maendeleo ya haraka wabadilike.
 
To shorten the answer we Tanzanians either with asian origin or 100% matumbi breeds we don't have working culture including Mo who was born in Singida IMO.

Indeed, Tanzanians of Asian origin are mostly entrepreneurs, now and historically. A minority of them are employed, majority are self employed.
 
Kampuni yake imehusika kuagiza mbolea fake na serikali imelazimika kuinyang'anya kibali cha kuagiza mbolea nje.

Yeye kama kiongozi na mwakilishi wa wakulima haoni kwamba amekosa uhalali wa kuendelea kuwa mwakilishi wao kwa sababu anatumia nafasi hiyo kuwadhulumu na kuwahujumu badala ya kuinua maisha yao ya kiuchumi?
 
Dada Fina maswali yangu matatu tu kwa mh Mo ningependa kuhoji kwenye biashara zake na siasa kama ifuatavyo:

1.(a) Utitiri wa makapuni yanayoanzishwa kila leo chini ya biashara ya familia yao METL nini lengo kubwa la uanzishwaji wa makampuni haya e.g A ONE,21st CENTURY TEXTILE,21st CENTURY FOOD,DUNIA WORLDWIDE,TPM MOROGORO,AFRITEX TANGA,EAST COAST OIL
etc
(b) Kutokana na uwingi huo kipi watanzania wajivunie toka kwenu katika maeneo ya upatikanaji wa ajira,wakulima kupata bei zenye tija kwenye mazao yao na upande wa serikali kukusanya mapato stahili.( si vibaya akaeleza na takwimu)

2. Yeye kama sehemu ya wamiliki ICD (ya kwao inaitwa C2C) zilizoanzishwa kama uyoga, je zina tija kwa serikali? na nini ushauri wake kwa serikali.

3. Tumeshuhudia wimbi kubwa la wafanya biashara, mafisadi na wahujumu uchumi wakiingia na kujificha katika mwamvuli wa siasa,michezo na kusaidia taasisi za dini, je ni kitu gani kilichomsukuma kuingia katika siasa?
 
swali
1.kwanini alinunua viwanda vya magunia moshi mashine akaziuza kama chuma chakavu na majengo akafanya maghala.
 
Mkuu zomba hili swali nimelielekeza kwa Mohammed Dewji inawezekana hizo sababu zipo lakini si kwa waTanzania wote nadhani hata wewe utakubaliana na mimi.

Nafarijika Mohammed Shossi amekupa like kubwa lakini kasahau juzi alikuja na bandiko lake kwamba wakati wa zoezi la kitambulisho cha uraia alinyanyaswa kwasababu ya rangi yake leo anafurahia waTanzania weusi wanavyonyayaswa na Mohammed Dewji wametengewa vyoo vichafuu, michango yao ya NSSF haipelekwi, mishahara ya waTanzania weusi ni chini sana huku wahindi wenzao wahindi wakilipwa mishahara mara tano hadi kumi zaidi.

Yafaa Mohammed Dewji anapowaomba kura wananchi wa Singida awaambie ajira zake ni za kibaguzi na ataoa sababu hizi hizi alizotoa Zomba.

Hili namjibia:

Kwa sababu:

Wafanya kazi wa Kitanzania wengi ni wavivu, wezi, waongo, hawaishi kufiwa na kuomba ruksa za kwenda kuzika, hawaishi kuumwa, hawaishi kuwa na kila sababu za kutokuhudhuria kazini. Watu wa India wanajuwa dhiki ya maisha na vipi kupata kazi ni kugumu na wao huchapa kazi na hawana visingizio kama Watanzania.

Inapaswa Watanzania wanaotaka maendeleo ya haraka wabadilike.

Oops, nilisahau:

Hawaishi kukopa (kujichotea) makazini, hata iwe ni viongozi wa vyama vya siasa.
 
Je? ukiwa mbunge ukiacha maslahi direct ya malipo manono, indirectly vitu kama diplomatic pass, first class service ofisi za umma, networking nk ndivyo vilivyomfanya agombee? au ni kweli alitaka kuleta maendeleo jimboni? kama ni maendeleo amefanya nini mpaka sasa, na je, ubunge wake umemsaidia kwa kiasi gani katika biashara zake?

pili, atueleze kile kiwanja alichonunua toka CHC, moja ya mambo yaliyomng'oa Mkulo, haoni kama alituibia waTZ mali yetu? mbona alinunua kwa bei poa sana?
 
Fina naomba uniulizie jamaa akiwa kama mtz mzalendo na ni mmiliki wa makampuni makubwa je ametoa ajira ngapi za uhakika kwa watz wenzie ambazo si za kubeba mabox yan ktk nafasi za juu ikiwa sasa tuna lundo la vijana wasomi mitaani?
 
Swali la 1:
Kwanini anatoa misaada sana ya kijamii jimboni Sindida halafu anahusishwa na ufisadi chini ya kivuli cha kampuni yake ya Mohamed Enterprises kwa kununua kiwanja cha iliyokuwa GAPEX hapo nyerere RD kwa bei poa? Je, anatumia misaada hiyo kama kinga asibughuziwe na vyama husika?

SWALI 2:

YEYE na wenzie kama RAGE enzi za Nyerere walikuwa wanaomba uongozi walikuwa wanafukuzwa; Je, BAADA ya baba wa taifa kufariki kwanini wameingia chama cha CCM?

Sindida ndo wapi?
 
Ni kipindi cha mkapa, Rage, Abood, Dewji, Manji, walikuwa hawakatizi NEC, anaejua atujuze zaidi ila pia dada Fina tuulizie what hapened and what is hapening now. sababu zilizofanya wasipitishwe na chama kugombea ubunge japo walishinda kura za maoni, and him in particular.
 
Kwani Sadiki,Loto,Shamim Khan,Asnain Dewji,Raza na Rostam walipitishwa na JK? Usimtaje kabisa huyo mkoloni mweusi wa Masasi ndio maana hata Christopher Mtikila alimtilia mashaka.
 
Wakuu upande wa maswali mmemaliza yote,hapo ndio utamu wa JF unapokuwa hakiachwi kitu hata uwe nani! Wanasiasa wapende wasipende hapa hatujuani hili ni jukwaa huru hivyo wakubali pia ni kioo sahihi kwao!
kama hupendi kujiangalia kwenye kioo basi unakimbia ukweli juu ya muonekano wako ambao popote ulipo hutazuia watu kukuangalia halafu kwa sauti au kimoyomoyo watakuhukumu kwa mema au mabaya yako!

kazi kwako Fina utahitaji sijui simu za wasikilizaji au maswali yako binafsi after all this!
 
Mkuu zomba hili swali nimelielekeza kwa Mohammed Dewji inawezekana hizo sababu zipo lakini si kwa waTanzania wote nadhani hata wewe utakubaliana na mimi.

Nafarijika Mohammed Shossi amekupa like kubwa lakini kasahau juzi alikuja na bandiko lake kwamba wakati wa zoezi la kitambulisho cha uraia alinyanyaswa kwasababu ya rangi yake leo anafurahia waTanzania weusi wanavyonyayaswa na Mohammed Dewji wametengewa vyoo vichafuu, michango yao ya NSSF haipelekwi, mishahara ya waTanzania weusi ni chini sana huku wahindi wenzao wahindi wakilipwa mishahara mara tano hadi kumi zaidi.

Yafaa Mohammed Dewji anapowaomba kura wananchi wa Singida awaambie ajira zake ni za kibaguzi na ataoa sababu hizi hizi alizotoa Zomba.

Wamepangiwa vyoo vichafu? kuwa makini kidogo unapoandika. Ni nani alivitumia halafu akawaachia wao? Mohamed Dewji? Sema wenyewe ni wachafu.

Haya maswali yapo open humu, yeye anaulizwa kwenye radio atakuwa anayajibu huko na hapa tunajayajibu kwa mttazamo wetu. Usichoelewa ni nini?

Hilo la vitambulisho linahusu nini? na like aliyonipa? mimi hata sikuelewi. Sasa wewe unakataa kuwa Watanzania wengi ndio sifa zao hizo nilizoainisha na ndio maana matajiri wengi wana prefer wafanyakazi wa nje?

Mie mwenyewe houseby wangu wa Malawi, Watanzania wameniibia mpaka nikasema basi, tosha. Sasa imagine Dewji anao wangapi.
 
1.je ni kweli kampuni zake ukiacha kazi unafunguliwa mashtaka ya uwizi??
2.je,na yeye ni mmojawapo wa kiongozi anayewatetea wahindi wanaoishi nhc kwa muda mrefu wasitolewe kwenye nyumba hizo na wauziwe??
3.je ni kweli huwa anawapa mikopo watu wenye asili ya kiasia kwa kuchukua hati zao za nyumba na pindi washindwapo kurejesha huchukua nyumba zao kiubabe?
 
Back
Top Bottom