weka picha!
Japo umesema tukae pembeni, hii interview ni tofauti na ile uliyoianzisha uliyosema itaanza saa 11? Mbona wageni ni wale wale Watu8 na Heaven on earth? Na kama ni hiyo kwa nini umeianzishia uzi mwingine wakati watu wanakusubiri kwenye ile nyingine saa 11? Thanks
niko mkuu..
karibu sana kwenye interview
Heaven on Earth hebu salimia wana MMU
nafurahi kwa kuitikia mwaliko wangu mkuu
huibiwi mkuu..
kuwa mpole tafadhali
Nami nashukuru kwa kuwa mmoja wa waalikwa katika mahojiano haya...