dah! miaka sita siyo haba ati! mliishi pamoja? kwanini umesema ilikuwa inamwisho mbaya?
Sikuwahi kuishi nae hata siku moja alikuwa kwake nami nilikuwa naishi na wazazi. And those 6 yrs was baada yakumaliza chuo.
Mmh afu sijaomba ruhusa ya kuzungumza haya mpenzi@kiwatengu usinichape tafadhali
ha ha ha ha! sitaki kuamini kama ulikuwa una hamu nayo!! i know girls are very hard during there first sex...
so baada ya hapo, did u enjoy the game?
na mlirudia tena baada ya muda gani?(i have the reason to ask u this)
As u said it was mhh painful....
N the guy hakuwa na kibamia alikuwa na mdushelele...
Ile ilikuwa mara yangu ya kwanza na ya mwisho with him...
Kwa kweli hadi nilimeza dawa za maumivu na sikutamani tena kurudia mchezo huo...
Sikuwahi kuishi nae hata siku moja alikuwa kwake nami nilikuwa naishi na wazazi. And those 6 yrs was baada yakumaliza chuo.
Mmh afu sijaomba ruhusa ya kuzungumza haya mpenzi kiwatengu usinichape tafadhali.
Nimesema iliisha vibaya sababu mi nilimpenda nikajiachia kuroho na kumwili kumbe mwenzangu ana mtu mwingine was sad kwakweli
oops! hope he wont mind..
sasa shansarie 6yrs! kwenu nani alikuwa anajua?
oooh! i cant imagine..
sasa we ulikuwa hujasiaga hata story kwa wenzio? hahahaha! pole sana.
so sex ndiyo ilivunja mahusiano yenu?
dont tell me unadate na jamaa seriously..
Hakuna aliyemfahamu zadi ya ndugu zangu wa bamkubwa nilikuwa msiri kupita kiasi ukizingatia maza alikuwa mkali pamoja na mm kukua hadi na ukubwa wangu bado namuogopa mama yangu alinitengezea nidhamu ya woga sana nikiwa mtoto.so nilikuwa nafanya siri
Hapana kama nilivyosema awali huyy bwana alikuwa mstaarab kweli na muelewa naamini alinipenda sana...
So tuliendelea na relation mpaka matokeo yakatoka...
Baada ya matokeo kila mtu akawa na ubussy kukimbizana na interview za shule mbali mbali...
Ila tulitofautiana kidogo kwani wakati mie nakazana niendelee A level yeye alitaka kufanya diploma...
ila ulikuwa ushamruhusu amege?
ahaa! nimekusoma vyema, so huyo ndiyo boy wako wa kwanza! vipi lakini katika stori zenu, aliwahi kukuambia kama alikuwa na girl friend(demu) mwingine kabla yako? au na wewe kwake ulikuwa wa kwanza?
Yeah aliwah kuniambia alikuwa na girlfriend kabla yangu waliachana baada ya wazaz wake kuhamia sehemu ingine so wakapoteza mawasiliano...
Sikuwa mdadisi sana wa issue zake coz pamoja na kuwa nilimpenda lakini nilikuwa najua kichwani mwangu sina future nae coz ya tofauti zetu za kidini.
hivi kama mtu umepoteza tu mawasiliano, unaweza kusema mmeachana? na hapo kwenye tofauti zenu za kidini, mliwahi kupajadili hata kiduchu?
hukuwaza ndoa kabisa? hukuwa na future nae, au ndiyo impact za ukali wa mama! u do things kwa hofu.
Yeah inawezekana coz hivyo ndivyo mimi na yeye tulivyoachana..
Anyway kuhusu tofauti za kidini tuliwahi kuongea mara kadhaa ila yeye kila wakati alikuwa anajipa moyo kuwa mimi naweza kufata dini take coz kwetu kuna waislam pia ila hakuwa akijua kuwa mie nilikuwa sina mpango kabisa wa kubadilisha dini yangu na kuwa muislam.
mmh sasa ulimpendaje sana? then tuadithie kidogo mlivyoachana na sababu