Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

Doctor wewe achana na hawa vijana wa magamba watakutia hasira bure sio saizi yako wacha sisi tucheze nao wakija kistaarabu tunawajibu kistaarabu wakija kihuni tunawajibu kihuni,..wewe endelea na kujenga chama Tuachie sisi hawa ni saizi yetu!!

well said brother.....hawa wanalipwa sisi ni kujitoa Tu ili kuikomboa nchi. Pumzika Dr.W.Slaa[/QUOTE]
Wewe sema tu kuwa mnajitolea kuikomboa nchi wakati wenzenu chadema wanaifanya kuwa saccoss na NGO ya kujichotea watakavyo. Poleni sana na hizo book 3 zenu kwa siku
 
Habari za Jumapili WanaJF. Tuko live kuwaletea yatakayozungumzwa muda si mrefu hapa Makao Makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ni Mkutano wa ghafla juu ya harakati chafu zinazoendelea kufanywa na Serikali, CCM, na Jeshi la Polisi dhidi ya Chama chetu. Karibuni sana

Chama Cha Demokrasia na Matamko!
 
CDM kinapita katika tanuru la moto kwa sasa,naamini hili ni moja ya majaribio makubwa kabisa waliyobakiwa nayo CCM, ila nawakumbusha CCM kuwa wanapowatesa CDM kiasi hiki wajue pia wanawatesa na Watanzania walio wengi tena wengi sana.....mwaka 2010 Mh alipata 61% tena kwa kuchakachua kama inavyodaiwa, sawa hizo asilimia zingine zilienda wapi, sasa tujiulize hizo asilimia zingine zitakapoamua kuingia barabarani kwa kuchoka kuonewa nini kitatokea........mtamfunga Mbowe,Slaa,Lissu na wengine ila sidhani kama ndio utakuwa mwisho wa malalamiko ya wananchi juu ya hali mbaya ya maisha na ubadhirifu wa mali za umma,wekeni maisha bora kwa wananchi kama munaweza ili muone kama mtasikia malalamiko au wananchi kujikusanya kwenye mikutano ya CDM.
 
Hao uliowataja ndo maadui zetu maana wanajichotea tu mihela ya ruzuku wakati wengine wanakosa hata fedha ya kununulia karatasi
 
well said brother.....hawa wanalipwa sisi ni kujitoa Tu ili kuikomboa nchi. Pumzika Dr.W.Slaa
Wewe sema tu kuwa mnajitolea kuikomboa nchi wakati wenzenu chadema wanaifanya kuwa saccoss na NGO ya kujichotea watakavyo. Poleni sana na hizo book 3 zenu kwa siku[/QUOTE]

eeh lizabon kumbe na awa jamaa cku izi wanakula buku3 du!nchi sasa imeisha. Alaf iyo b3 si half per diem ya lumumba ya buku7? Dah cdm basi nao waongeze ili vijana mle flat rate,au vp!
 
Habari za Jumapili WanaJF. Tuko live kuwaletea yatakayozungumzwa muda si mrefu hapa Makao Makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ni Mkutano wa ghafla juu ya harakati chafu zinazoendelea kufanywa na Serikali, CCM, na Jeshi la Polisi dhidi ya Chama chetu. Karibuni sana

Thread imetumwa hapa JF saa 6.30 Mchana hadi sasa saa 11 jioni hakuna update au Marando alitaka kutoa tamko lake bila ruhusa ya Mbowe,amemzuia asitoe tena!!!!
 
Wait a minute, yule mwenyekiti wa BAVICHA Bukoba alipokamatwa na anaendelea kusota ndani kwa kesi hiyo hiyo hakuna hata wakili mmoja mlimtuma leo kakamatwa mchaga mwenzenu mnapeleka jopo. Kweli kuna watu na viatu

chadema msilete mawakili uku bukoba,tulioko tunatosha. Alaf mkumbuke bukoba wako wahaya,na wahaya nadhan mnawajua. Teteeni wanyonge wanaoonewa kwanza uku tutajitoa wenyewe achana na nduka.
 
Kama kawaida chama cha Matamko.

labda baadhi yetu hatuelewi nini maana na umuhimu wa matamko
Naomba watanzania tuwe tunapenda kuangalia habari za kimataifa ktk channel za CCTV NEWS,CNN,BBC,ALJAZEELA,utaona kuwa kila kukicha ni lazima wasemaji wa serikali ama vyama mbalimbali duniani wakisimama na kutoa matamko yao kupitia vyombo hivyo,either kwa kutoa misimamo ya serikali zao ama vyama vyao,sasa unapokuja kulalamika juu ya matamko tena nchi masikini kabisa kama Tanzania,je manchi yaliyoendelea na yanatoa matamko na misimamo yao kwa kila jambo linalotokea duniani itakuwaje?
tuwe na tabia ya kupanua wigo na sio kujifungia ndani na kudhani eti matamko ama misimamo hutolewa Tanzania pekee.
 
Ukabila mbaya sana,baba wa Taifa aliukemea sana,viongozi wa taasisi hii CDM wote wameacha shughuli zao kwasababu huyu gaidi anatoka Kilimanjaro.

aya ndo yanayokemewa na bunge mpaka mkaleta azimio la bunge,ila ww unajificha nyama ya ayo madole yako unaandika ukabila na kushabikia udini. Na yapasuke madole ayo.
 
dr. endelea na utaratibu wako ulio nao katika kulikomboa taifa hili tunakuamini, tunakuheshimu, tunakupongeza, siku zote udhalimu hauwezi kushinda haki tupo pamoja na wewe, waache waendelee kupiga kelele usihangaike nao, wapuuze .
 
advocate nyombi amehaidiwa kupewa nafasi ya chagonja na chagonja kuwa igp.mwongo mpe muda.wataumbuka mchana kweupe lile bandiko la crashwise jana juu ya ushuhuda linawahusu

huyu Chagonja na Nyombi 2tawatenganisha vichwa vyao na viwiliwili ili wajue uchungu wa kuua raia wenzao! Copy ma word as long as wanaish chni ya ardhi.
 
Hao uliowataja ndo maadui zetu maana wanajichotea tu mihela ya ruzuku wakati wengine wanakosa hata fedha ya kununulia karatasi
Mkuu hawa jamaa wanakera sana uozo wanaofanya wanadhani ni siri kumbe kila kitu kiko wazi sasa hata mungu amewakana na kuanza kuwauumbua.
 
huyu Chagonja na Nyombi 2tawatenganisha vichwa vyao na viwiliwili ili wajue uchungu wa kuua raia wenzao! Copy ma word as long as wanaish chni ya ardhi.
Mlaaniwe katika jina la bwana mda wote mnawaza kuuwa tu,mliotenganisha vichwa wanatosha msitegemee mteremko tena damu za watu lazima ziwarudie daima.
 
Halafu kama kunakitu fulani naanza kupata majina mengi ya viongozi wa chadema hata vyuo vikuu ni akina mushi,kileo,lema.sijui tafsiri yake ni nini.
 
SIPENDI SIASA, ILA CDM NAPENDA JINSI MNAVYOYACHACHAFYA MAJIZI YANAYOTUMIA POLISI KULAZIMISHA KUBAKI MAGOGONI, IWE ISIWE MWISHO WA MAGAMBA UPO KARIBU SANA, KILA UPUUZI,UJANGILI NA UGAIDI WAO UPO UCHI, GO CHADEMA, WATZ TUPO NYUMA YENU. INSHAALLAH, YATAKIMBIA TU, KWANZA YAMEGAWNYIKA. KUNDI LA LWS NA KINA SITTA. YANAHOFU CDM IKIBAKI IMARA, 2015 YATAKWENDA SEGADANSI aka SEGEREA. MWIGULU MUUAJI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom