WINCH Member Joined May 3, 2016 Posts 71 Reaction score 23 Oct 9, 2017 #1 Habari wadau Nina IST no. C nilikua napenda kubadilishana na mtu mwenye Noah hasa Old Model itakua preferred. Ambae yuko tayari aniPM, nitashukru sana. Ahsanteni.
Habari wadau Nina IST no. C nilikua napenda kubadilishana na mtu mwenye Noah hasa Old Model itakua preferred. Ambae yuko tayari aniPM, nitashukru sana. Ahsanteni.
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,155 Oct 9, 2017 #2 Poa mkuu, wenye kuhitaji watakucheki
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,938 Oct 9, 2017 #3 Ngoja waje mkuu, nahisi watakuwa wanatimiza amri ya mkuluu kufyatuaaa
WINCH Member Joined May 3, 2016 Posts 71 Reaction score 23 Oct 11, 2017 Thread starter #4 Watu wameingia mitini