Excess Luggage, Lazma mzigo ufike

Excess Luggage, Lazma mzigo ufike

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
mzigo.png
 
hii sjui itakuwa africa magharibi??
maisha ya kiafrica bhanaa kote kote yanashabihiana
 
hii sjui itakuwa africa magharibi??
maisha ya kiafrica bhanaa kote kote yanashabihiana

Nilikwenda cameroon, nikidhani kuna afadhali, kumbe Africa ni hiyo hiyo! Hakuna cha zaidi ya sisi- manzese manzese tupu

Hujambo wa kwetu. Tumepotezana sana. Tukumbukane katika sala!
 
Nilikwenda cameroon, nikidhani kuna afadhali, kumbe Africa ni hiyo hiyo! Hakuna cha zaidi ya sisi- manzese manzese tupu

Hujambo wa kwetu. Tumepotezana sana. Tukumbukane katika sala!
afrika ni afrika tuu huko liberia sijui ghana hali ni kama hii tuu hakuna tofauti hata kidogo
ukiskia afrika maskini ni kweli ni maskini.
nipo mwanakwetu saa hizi nimebanwa zaidi
 
Hii hatari sana.

Kuna madereva wengine hawajatulia wanaweza kumpalaza miguu
 
afrika ni afrika tuu huko liberia sijui ghana hali ni kama hii tuu hakuna tofauti hata kidogo
ukiskia afrika maskini ni kweli ni maskini.
nipo mwanakwetu saa hizi nimebanwa zaidi

Pole mwanakwetu!
 
Haaaa nimecheka ka mazuri....hio ni balaa....kuna watu wanacheza na maisha lkn hata tz inatokea sana niliona siku gari limejaa mzigo sijui zilikuwa nyasi zile kwenye pickup kisha mtu kakaa juu tena hata hajajishikizia...nikasema dereva akifunga breki tu huyu jamaa kwisha habari yake maana atarushwa kulee!!!!Mwengine nkamuona kwenye bodaboda kaeka mkaa kafunga gunia mbili alikuwa hana hata balansi yaani akiguswa tu kaanguka dah!
 
Back
Top Bottom