Excellent na Washawasha

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,166
Wanajf,
tangu mwaka huu uanze uwepo wa hawa watu wawili umekua mdogo sana hapa jamvini.
Mwenye taarifa yoyote apate kunijuza hawa watu walipo nimewamiss kweli
 
Wengi sana wameadimika. Atakaenionea chatudume mwambieni namtafuta.
 
Wengine majukumu yamewabana. . . wengine wamejivua magamba.
 
my wii
sasa excellent umemuuza tena??
Nakupeleka polisi.
 
my wii
sasa excellent umemuuza tena??
Nakupeleka polisi.

hehehe jamani my wii kwani hujui nimepata mwingine? Huyo excellent kabaki kuwa rafiki tu,vipi unajua alipo?
 
Wanajf,
tangu mwaka huu uanze uwepo wa hawa watu wawili umekua mdogo sana hapa jamvini.
Mwenye taarifa yoyote apate kunijuza hawa watu walipo nimewamiss kweli

mwongeze na Preta sijui nini kimempata. Nilimsoma kwenye thread ya msiba wa Regia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…