Kwa kweli. Maana kumponda Nyerere ni kuonyesha jinsi ulivyo mwepesi katika tunu za kiuongozi.
Mataifa yote duniani yana tunu, miiko, misingi na alama ambazo ukizipuuza. kuzidharau au kuziponda inatosha tu kukutoa tu kwenye kinyanganyiro.
Embu fikiria Marekani umponde Washington au Lincoln, au Uingereza uongee utumbo kuhusu malkia. Si kwamba hao watu hawakuwa/hawana madhaifu yao. Ni kwamba wanawakilisha tunu na misingi ambayo taifa linasimama juu yake. "Standing on the shoulders of giants", wangereza wanasema.
Hivi Lissu anavyosema hataki awe Rais kama Nyerere, anaweza kujilinganisha na hata robo ya Nyerere kuzingatia nchi aliitoa wapi na kuifikisha wapi pamoja na magumu na changamoto alizopitia?
Lissu anaweza kujenga hoja nzuri tu kuhusu mapungufu ya katiba na mapungufu ya Magufuli na mapungufu ya CCM bila kumponda Nyerere. Kimsingi anaweza hata kumtumia Nyerere kujenga hoja zake kuonyesha ni namna gani tunu za Nyerere zinaweza kukamilishwa na slogan yao ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
Kuhusu ZnZ na muungano alimpondaNyerere, je ameomba Radhi kwa hilo au ndio hivyo yeye ni mkuu wa watu wote..hakuna mgombea anayemnukuu Mwalimu Nyerere ktk kampeni hizi kumshinda Tundu Lissu.
..karibu ktk kila mkutano wake Tundu Lissu amekuwa akisisitiza kwamba falsafa ya maendeleo ya watu ni falsafa ya Mwalimu Nyerere.
..mara kwa mara Tundu Lissu amekuwa akikumbusha kauli mbiu ya Mwalimu Nyerere ya "Uhuru na Kazi" na "Uhuru na Maendeleo."
..Tundu Lissu alisema kwenye suala la Kinga ya Raisi kushitakiwa, hataki kuwa kama watangulizi wa nafasi hiyo ambao ni Mwalimu Nyerere, Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mzee Mkapa, Mzee Kikwete, na Jiwe. Lissu amesisitiza kwamba akichaguliwa ataondoa kinga ya raisi kushitakiwa.
Kuhusu ZnZ na muungano alimpondaNyerere, je ameomba Radhi kwa hilo au ndio hivyo yeye ni mkuu wa watu wote

Tafuta video za shekhe Ilunga alikuwa ana mshutumu waziwazi bila kuogopa,Ni sawa tu, nyerere hakuwa sawa hata kidogo kabisa.. yule mzee angekuwepo leo haki the hague ingekuwa ni haki yake!!
Tundu Lissu's campaigning has been excellent - exposing the oppression of the current CCM leadership for all to see. Generally he has reduced attacks on previous leaders and directed his fire on to the current one. That is one of the brilliant tactics, to narrow the field of attack and isolate the enemy.
To attack Nyerere is to widen the field of attack and to bring the supporters of this current leadership back to his rescue bcause Nyerere is dearer in their hearts now than previously. It is true that the imperial presidency of Tz started with Nyerere, but the fact that Nyerere himself was uneasy with it in a public pronouncement shows a vast difference from the current one in the practice of presidentialism. That is the point to hammer home constantly.
If Lissu insists on including Nyerere, he should at least show this difference, and then he will continue to have the vast army of Nyerere's supporters in his fold or nearby. Remember that none of the previous presidents is running. Magufuli is! After the election, assuming Lissu wins, he can then go to town bashing any one in sight if they had a role in TZ' faulty political system.
Nashukuru kwa hilo, lakini alipokwenda ZNZ kupiga kampeni yake aliongelea kuhusu Nyerere na Muungano..TL alifuta kauli ambayo ilionekana kuwa amemvunjia heshima Mwalimu Nyerere.
..mbunge anapofuta kauli yake ndani ya bunge maana yake ni kwamba amekubali kuwa alikosea.
..lakini pia TL alieleza kwa kirefu kuwa nia yake haikuwa kumvunjia Mwalimu heshima yake bali kueleza makosa yaliyofanyika wakati tunaandika katiba ya muungano. Makosa hayo ndiyo yameendelea kuuandama muungano wetu mpaka leo hii.
Hapo nafikri utakuwa hujamwelewa maana yake. Uzuri wa Lissu anatumia sana maandiko ya Nyerere kujenga hoja zake tofauti na mgombea wa chama chetu! Yule hajawahi hata kutaja msitari mmoja kutoka machapisho ya Nyerere!Hivi Lissu anavyosema hataki awe Rais kama Nyerere, anaweza kujilinganisha na hata robo ya Nyerere kuzingatia nchi aliitoa wapi na kuifikisha wapi pamoja na magumu na changamoto alizopitia?
Anaeleweka sana. Anamtumia Nyerere kuonyesha mapungufu ya katiba na utawala wa Nyerere na kwamba yeye hataki kuwa kama vile.Hapo nafikri utakuwa hujamwelewa maana yake. Uzuri wa Lissu anatumia sana maandiko ya Nyerere kujenga hoja zake tofauti na mgombea wa chama chetu! Yule hajawahi hata kutaja msitari mmoja kutoka machapisho ya Nyerere!
Hivi ni mgombea gani siku za nyuma aliwahi kutuambia "NYERERE ALIZOEA KUISHI KWA VYA KUNYONGA??"
Na sasa NYERERE huyo amebadilika nn kwake ilhali alimtuhumu akiwa tayari ametangulia mbele za haki?
Nafkiri mgombea huyo aendelee tu na msimamo wake coz kuacha sasa ni unafiki na kuwahadaa wapiga kura. Hatuhitaji viongozi waongo waongo. Tunataka wagombea wenye kusimamia kauli na misimamo yao.