Habari wakuu,
tafadhali naomba msaada wa namna ya kupanga matokeo ili mwanafunzi wa kwanza aanze namba moja hadi wa mwisho kwa wingi wa alama zao,wako wanafunzi 302,
hapa nshaandika majina yao,
alama zao kwa masomo 11,jumla ya alama,
wastan,nafasi (position/rank)
sasa nahitaji yajipange kuanzia mwanafunzi aliyekuwa wa kwanza aanze namba moja nakuendelea,nnatumia excel 2003,
natanguliza shukran wakuu.