Natumaini kuwa sote ni wazima wa afya Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mtaalamu wa Microsoft Excel, Leo nimekuja na template ambayo kazi yake ni kuchakata matokeo ya wanafunzi wa O-Level. Hii template ina uwezo wa kuchukua wanafunzi 400 na ina worksheets tano, kila...