Afisa_Nkai
Senior Member
- Jul 5, 2025
- 183
- 273
Pichani ni EXAUD GASPERY MROSO. Ni mhitimu wa LLB Chuo Kikuu Mzumbe.
Ameripotiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo la chuo hicho katika eneo la BOHARI (KINGALU).
Alienda Chuoni hapo kwa ajili ya kuhudhuria mahafari ya kuhitimu elimu ya Chuo kikuu yanayofanyika chuoni happ siku ya leo tar. 20. 11. 2025.
Jitihada kadhaa zimefanyika, kuhakikisha anapatikana lakini mpaka sasa hazijazaa matunda.
Tunaomba uutangazie umma.