Ex wangu aliniacha mimi na kukimbilia kwa jamaa fulani kisa jamaa ni mtu mwenye pesa nyingi.
Wakati mimi ndo nilimtowa kijijini na kumleta mjini ila cha ajabu mazuri yote haya walisau yeye na Familia yake kisa jamaa huyo alikuwa ana towa pesa nyingi kutunza Familia hiyo.
Sasa demu ni mgonjwa amelezwa. Na nilivyo sikia kwa watu jamaa alisepa zake baada ya kuona demu amekuwa duka la magonjwa. Na toka tulivyo achana hakuwai kuni text jioni hii ndo nimeona SMS yake. Akiniomba niende hospitali anataka kuniona sijui kuna nini
Yamemkuta sasa ndo ameona umuhimu wangu