Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
- Thread starter
- #41
Ww ukiona utumbo niliandika pita kushotoBora kukosa mali kuliko kukosa akili,nakushauri ndugu yangu usije oa wala kutengeneza familia ukiwa na akili hii utatesa watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app