Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
- Thread starter
- #21
Shemeji yako au jamaaHebu nipm namba yake nimpe makavu live mkuu akukome kama muhogo wa kigoma vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji yako au jamaaHebu nipm namba yake nimpe makavu live mkuu akukome kama muhogo wa kigoma vile
Utamu kubadilishaneBila ya shaka wewe umenogewa nae yeye kanogewa na X wake.
Ndukiiiii![]()
Kiuno ulikua humpi vizuri.

nenda X wangu nilikupenda ila x wako umempenda zaidMweche aende hyo ni mcheza XHakuna demu wa peke yako mzee! kama unampenda basi we endelea nayeye jaribu kujiuliza kwann amekutafuta!! na anakuomba umsameheheehhe ni kwamba hakuna binadamu aliyekamilika kuna kuteleza mzee!
Hata mm na mpenzi wangu huwa tunakosana na tunarudiana tena unakuta kila mmoja anaweza akawa anakipoozeo chake kipindi cha kununiana lakini mwisho wa siku kila MTU anajirudi! hiyo papuchi yake sio ya kwako tu mzee Ila ukiweka akilini kuwa ni yako tu utawakimbia kila siku mzee na unaweza ukahisi umelaaniwa!!
Kuna wanandoa wanachepuka na kufumaniwa lakini mwisho wa siku wanakaa chini na kuyamaliza tofauti zao so mzee kama kweli unampenda basi naomba umtafute tena
don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Naamin hvyo aisemke akitoka nje ya ndoa jiulize wapi ulipo kosea na Kama hamna kosa ulilotenda basi huyo hakufai tupa kule
Sijui hata unachoongea. Yaani kwa akili hiyo acha aku cheat tu. Hujielewi. Na unakuja kulia lia hapa kama mbwa koko. Mnajaza server tu. Mazafanta

huyu chizi anakutukana bhana ila msikilize ni chizi mwenye maarifa eti

Hayajakukuta ndio maana unavomit tu maneno hovyoSijui hata unachoongea. Yaani kwa akili hiyo acha aku cheat tu. Hujielewi. Na unakuja kulia lia hapa kama mbwa koko. Mnajaza server tu. Mazafanta
Wew kweli chizi maarifaSijui hata unachoongea. Yaani kwa akili hiyo acha aku cheat tu. Hujielewi. Na unakuja kulia lia hapa kama mbwa koko. Mnajaza server tu. Mazafanta
Hakuna demu wa peke yako mzee! kama unampenda basi we endelea nayeye jaribu kujiuliza kwann amekutafuta!! na anakuomba umsameheheehhe ni kwamba hakuna binadamu aliyekamilika kuna kuteleza mzee!