Ex wangu anateseka, wote semeni tawile

Ex wangu anateseka, wote semeni tawile

Baada ya kuwa na mahusiano na mwanmke flan kwa miaka mi 4, baadae akaja kubadilika baada ya kupata kazi, inshot mm ndio nilikuwa na muweka mjini,

Nimtoa kjjn na kumeltaa, mjini nikamuandliaa mazingra ya kuish,, nakwa naanda mke, kila kitu juu yangu na tupo mjini, ila nilipangaa, kivyangu nikampangia kivyake, lakn huduma zote juu yangu nawza tu end kulala kwake hata week, nzimaa, bhas narud kwangu, ni mwaka ukaishaa tukiwa na maisha hayoo,

Akaja kupata kaz, akaanza kubadilika, akaona aanaweza kuish peke yake, vibur dharau, mambo kede kede yaakaanzaa, mpka tukaachanaa, mambo yote yanaendleaa wazaz waikuwa wanajua kuwa nipo na binti yaooo, ila namtaftiaa kaz piaa ni mpenz wangu, yaan mke mtalajiwaa, tukaachanaa, taarifa zkfikaa kwa wazaz, waka mind, miez miwili kupit, akaanza kuomba msamah, akawashilika wazaz yakaishaa, tukaka km miez miwili, akaanza tena seke seke,

Nilipata tabu, na shida nying sana kuachana naee mpka kumsahau sababu ni mwanamke ambaye nilimpenda sanaaaa,

Hatimaee nikafanikiwa kumsahau, japo Anaish karibu na mazingra yangu ya kaz, nikaacha kumuona kabsa anajtiaa yupo busy na kaz, maisha yakasongaa, miez ikaptaaa, nikawa nipo fresh nimezoeaa kuish mwenyewe,

Akaja kunitaftaa, mwez wa 11 mwaka huu, kuw nimsamehee tusichukianee tuwe marafiki tu, mimi ndio niliyemtoa kjjn hawez sahau mambo mema nilomtendeaa, sifa kibaoo kazimwagaaaaa, nilisitaaa, kuwa na urafik naee sababu najua mwisho wake tutarudi tulikotokaaa ,

Lakin baadae nilikubali tukawa watu waku salmiaana, anakuja ofsn kwangu anapata huduma na hela naalipiaa kama wateja wengnee, mara ana nishirikshaa mambo yakee, lakin skuwa karibu kivile mda mwengne anawz nitaftaa, nisimjibuuu....

Sasa akaanza kuniulzaa, kuna stor zilivuma na mahusiano na wanawake kadhaa mtaani akawa ananiulzaa, kuhusu hao watu, nikamwambia mm sjui, lolotee, akawa na jaziba na hasiraaa, nikaona isiwe kesi, nikakataaa mawasiliano, kila mtu aendee na yakee!

Kila mtu kaasema bye byee [emoji16][emoji16][emoji16].

Siku mbili sahz, mm natumia gb Whatsapp nikatuta ametuma sms Whatsapp alafu akafutaa,

Et "ya kujielezaa, ooh! Maisha kwangu yamekuwa magumu sana maelezoo kibaoo," na sijamtafaa mpak sahz nahis waliokuwa wanampa kivur ameyakanyagaaa!

Ila kiufup tuu huyu mtu hata iweje siwez kaa nikardiana anaeee nishaaa muaa kwenda mbeleeeeee [emoji125][emoji125]
kuandika kwenyewe taabu,sasa utaweza kweli kuhudumia mwanamke?
 
Siyo kweli. Mimi nili move on lakini huwa nafurahi kusikia anapatwa na mitihani ya Dunia maana aliniacha kwa dharau kisa sikuwa na Hela, aliowaona Wana hela wakamterekeza na mimba juu. Sasaiv anachoma mahindi kando ya lami karibu na soko la walevi
1 Yohana 4
20 Mtu akisema, Nampenda Mungu, naye anamchukia ndugu yake, ni mwongo; kwa maana asiyempenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hakumwona.

21 Na amri hii tumepewa na yeye, ya kwamba yeye ampendaye Mungu, ampende na ndugu yake.
 
Kufurahia anguko la ex wako ni dalili mojawapo ya kushindwa kumove on

Jitahidi uendelee na maisha yako ndugu sam kijani
raha ya ex atesekeeeeeeeee achokeeeee apigikeeeeeeee mapigo 7 ya dunia
apaukeeeeeee akondeeeee kikubwa asife na asiugue ila apauke mpaka luwa mbuzi
 
ebhana huyo kaa naye mbali huyo hama hata mtaa
atakuletea shida

mwisho wa siku tafuta pisi moja kiwembe kali kinouwmer na awe na tangi nzur mwili mzuri hata ka sio wife material ishi naye japo miezi 3 na hakikisha ex anajua na kama anapika vitumbua make sure pis yako mpya inanunua pale
 
unajua kwanin mwanamke akiwa mchawi ni Ngumu kumgundua jibu jepesi wanawake wanaweza kuishi kwenye unafiki kwa kiwango kikubwa sana na uchawi na unafiki ni mtu na dada ake shikilia bomba apo apo hakuna kumsamehe
 
Baada ya kuwa na mahusiano na mwanmke flan kwa miaka mi 4, baadae akaja kubadilika baada ya kupata kazi, inshot mm ndio nilikuwa na muweka mjini,

Nimtoa kjjn na kumeltaa, mjini nikamuandliaa mazingra ya kuish,, nakwa naanda mke, kila kitu juu yangu na tupo mjini, ila nilipangaa, kivyangu nikampangia kivyake, lakn huduma zote juu yangu nawza tu end kulala kwake hata week, nzimaa, bhas narud kwangu, ni mwaka ukaishaa tukiwa na maisha hayoo,

Akaja kupata kaz, akaanza kubadilika, akaona aanaweza kuish peke yake, vibur dharau, mambo kede kede yaakaanzaa, mpka tukaachanaa, mambo yote yanaendleaa wazaz waikuwa wanajua kuwa nipo na binti yaooo, ila namtaftiaa kaz piaa ni mpenz wangu, yaan mke mtalajiwaa, tukaachanaa, taarifa zkfikaa kwa wazaz, waka mind, miez miwili kupit, akaanza kuomba msamah, akawashilika wazaz yakaishaa, tukaka km miez miwili, akaanza tena seke seke,

Nilipata tabu, na shida nying sana kuachana naee mpka kumsahau sababu ni mwanamke ambaye nilimpenda sanaaaa,

Hatimaee nikafanikiwa kumsahau, japo Anaish karibu na mazingra yangu ya kaz, nikaacha kumuona kabsa anajtiaa yupo busy na kaz, maisha yakasongaa, miez ikaptaaa, nikawa nipo fresh nimezoeaa kuish mwenyewe,

Akaja kunitaftaa, mwez wa 11 mwaka huu, kuw nimsamehee tusichukianee tuwe marafiki tu, mimi ndio niliyemtoa kjjn hawez sahau mambo mema nilomtendeaa, sifa kibaoo kazimwagaaaaa, nilisitaaa, kuwa na urafik naee sababu najua mwisho wake tutarudi tulikotokaaa ,

Lakin baadae nilikubali tukawa watu waku salmiaana, anakuja ofsn kwangu anapata huduma na hela naalipiaa kama wateja wengnee, mara ana nishirikshaa mambo yakee, lakin skuwa karibu kivile mda mwengne anawz nitaftaa, nisimjibuuu....

Sasa akaanza kuniulzaa, kuna stor zilivuma na mahusiano na wanawake kadhaa mtaani akawa ananiulzaa, kuhusu hao watu, nikamwambia mm sjui, lolotee, akawa na jaziba na hasiraaa, nikaona isiwe kesi, nikakataaa mawasiliano, kila mtu aendee na yakee!

Kila mtu kaasema bye byee [emoji16][emoji16][emoji16].

Siku mbili sahz, mm natumia gb Whatsapp nikatuta ametuma sms Whatsapp alafu akafutaa,

Et "ya kujielezaa, ooh! Maisha kwangu yamekuwa magumu sana maelezoo kibaoo," na sijamtafaa mpak sahz nahis waliokuwa wanampa kivur ameyakanyagaaa!

Ila kiufup tuu huyu mtu hata iweje siwez kaa nikardiana anaeee nishaaa muaa kwenda mbeleeeeee [emoji125][emoji125]
Aliyeelewa plz naomba summary!
 
Achana na jinga hilo na usimpe nafasi ya kukushika hata mkono wala kusikia sauti yako..

Mwanamke akisha kuacha hupaswi kumpa nafasi yeyote nyingine. Huyo anakupumzikia akiwa na shida zake ila akiwa fresh anakuona wewe ni boya .

ACHA KUOZESHWA AKILI NA MWANAMKE
 
Kumove on sio lazima uwe huna upendo nae
Hata chuki kwa ex ni kuto-move on

Yani maisha yake hayatakiwi kuwa na positive wala negative impact kwenye maisha yako
Unaandika kwa ku generalize Sana, inategemea sababu ya kuachana na EX ni ipi Kama kakuacha kwa dharau kwasababu huna PESA kwanini usifurahie akipigika kiuchumi wakati wewe upo mtamu.
 
Siyo kweli. Mimi nili move on lakini huwa nafurahi kusikia anapatwa na mitihani ya Dunia maana aliniacha kwa dharau kisa sikuwa na Hela, aliowaona Wana hela wakamterekeza na mimba juu. Sasaiv anachoma mahindi kando ya lami karibu na soko la walevi
Si alikutunuku tunda,
 
Unaandika kwa ku generalize Sana, inategemea sababu ya kuachana na EX ni ipi Kama kakuacha kwa dharau kwasababu huna PESA kwanini usifurahie akipigika kiuchumi wakati wewe upo mtamu.
Usifurahie anguko la mtu ujui kesho atakuwa nani
 
Ikitokea akaja kumpata mtu mwingine akapata furaha utakuwa katika Hali gani?
Swali tafakarishi sana hili. Ndiyo maana Joanah amemwambia ame-move on kwani hata hizo chuki zinanyesha jamaa bado anateseka. Na kuna possibility kubwa tu huyo mwanamke kesho anaweza kuwa kwenye hali nzuri kuliko yeye..
 
Wote mna teseka tu .umri wenu pia ni changamoto
 
Back
Top Bottom