nipe namba zakeBaada ya kuwa na mahusiano na mwanmke flan kwa miaka mi 4, baadae akaja kubadilika baada ya kupata kazi, inshot mm ndio nilikuwa na muweka mjini,
Ila kiufup tuu huyu mtu hata iweje siwez kaa nikardiana anaeee nishaaa muaa kwenda mbeleeeeee![]()
