Ex wangu anataka kuja kwangu

Kweli WANAUME tumebaki wachache wengi ni wakiume sasa issue kama hyo nayo ni yakuomba ushauri kweli?
 
Ila binadamu sijui tutaacha lini unafki.

kila mtu aliyeachana na mtu wake. Utasikia aliniacha kwa nyodo. Unatuambia tu kwamba alikuacha kwa NYODO. Mbona huwa hamsemi mapungufu yako ili tuweze ku weigh huo mzani.

Wote mna act innocent ili mpate huruma ya wasomaji.
 
Mwambie amtafute askofu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…