Ex wangu anataka kuja kwangu

sifa mojawapo ya mwanamke ktk mahusiano ni msimamo!..hivyo huyo anatanga tanga tu haeleweki.

Anajirudi kwako baada ya kugundua kuwa muda unasogea, ametumika vya kutosha (spare taili) mpka kupelekea kukosa mume aliye sahihi kwake, sasa kaona bora arudi ktk penz lake la awali..

Nionavyo mm:
Achana nae, heshimu ndoa yko kwa kuwa :-
-hana msimamo uyo..kama aliweza kukutoroka mara ya kwanza bas anaweza fanya hivyo tena.

-hujui anakuja kwako akiwa ktk hali gani ya kiafya..huwez jua huenda kuashaa copy ugonjwa uko sasa anataka ku-paste kwako..jihadhar sana apo.Linda familia yko.

-hujui ana nia gani kurudi kwako..viumbe hawa wana siri mno.
Tosheka na mke wako.

Usiumie saaaaaana kwa kuachwa na yy, mshukur sana Mungu maana hujui kakuepushia nin!

Naomba kuwasilisha!
 

Wewe umeoa lakini akili yako haijakomaa, hivi unaweza kumleta mwanamke akaja kulala kwenye kitanda ambacho unashare na mkeo wa ndoa? Gesti hazipo? Acha kujiletea mkosi
 
Huy Huyo ni wakala wa shetani anakuja na vifurushi kadhaa kama ofa kwao.. Anakija c vifurush kama vile UKIMWI, gono, nk...ol na ukipata tu hivy na vingine
 
ITAKUWA NI MWL HUYO MDADA WA HIZI AJIRA MPYA.

Acha uboya weye Linda familia yako, mheshimu mkeo!

HUYO KAJA NA UKIMWI,
 
Achana nae huyo maana keshasoma alama za nyakati,atakuharibia huyo japo anakutia mushawasha na maneno ya kupunguzu nyege,be carefully atakuharibia achana nae
 
Media zimetudumaza sana akili vijana wa kileo, ni sawa na limtu linalotajiwa no kwa mawasiliano haliwezi hata kuishika zaidi ya kuandika kwenye karatasi ndipo liisevu kwenye simu.
Hivi serious kweli hujui ufanyeje? Hivi kweli issue kama hii ni ya kuleta huku ushauriwe?
 
Huyo ni shetani ananyemelea kuharibu ndoa yako. Shauri yako. Ukimwingiza nyoka hatoki bila kukungata na kukuachia sumu ambani mwisho ni kifo.
 
Kweli nimeamini kwenye miti hakunaga wajenzi aiseee...teh!.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mpende mkeo ambae ameamua kuishi nawe na kuyakubal madhaifu yote uliyonayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…