Ex wangu anataka kuja kwangu

Hakika, inasikitisha kwakweli. Maana huwa nasema bora mtu huyu awe teen, ama hakwenda shule kabisa. Sasa mtu anapokua kapita shule kisha anaomba kwa mambo ya kutumia busara ama akili, inatia shaka.
 
we jitekenye uje kucheka mwenyewe
 
Hivi serious kweli hujui ufanyeje? Hivi kweli issue kama hii ni ya kuleta huku ushauriwe?
Hayuko serious huyu hivi kweli mwaume mpaka umefikia kuwa na familia yako hajui hii issue aimalizaje anaomba ushauri jf kweli?
 
Sio rahisi namna hyo kuikataa papuchi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Cole yu wapi ajibu hili swali[emoji23][emoji125]
Kumbe ni swali gumu hivyo!! Ukimuona basi,muulize halafu usisite kunipa jibu,sawa mkuu?
 
Papuchi si umeikalia hapo alafu unaliza tena
Sioni umuhimu wa kupapatikia kwani upo single si mtu anafamilia yake sioni sababu yakupapatikia mimi hata ndizi sioni sababu yakuipapatikia kama una 27 nakuendelea nikawaida wala sikitu kipya ndizi na watermelon
 
Sioni umuhimu wa kupapatikia kwani upo single si mtu anafamilia yake sioni sababu yakupapatikia mimi hata ndizi sioni sababu yakuipapatikia kama una 27 nakuendelea nikawaida wala sikitu kipya ndizi na watermelon
Kumbuka jamaa aliachwa kwa nyodo kwahyo atataka kula mzigo apunguze machungu kidogo
 
Kwanini aone jipya yeye anatakiwa aringe sio akubali kuletewa makomboo.
Mi hata uwe na ya gold sikurudii.
Unasema tu hapa nyumba ya keyboard lakini unatufunwa fresh na maisha yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…