dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Hi kitu nashindwa kuelewa malengo yake ni nini? Ni kunionesha kuwa amenenepa au kuna nini?
Jana na leo naona ananitumia picha zake na kutaka pia Zangu nimtumie anasema hajaniona Muda mrefu. Mimi huwa sipost Wala kuview page za watu wa kawaida sanaa Kama unafanya biashara ndio huwa natazama DP yako Sasa ameona sitazamagi DP yake akaone atume kbsaa picha zake.
Nikamuuliza za nn akasema mbna hauko romantic wewe " kila kitu ubabe ubabe kwako
Vipi wakuu Kuna nn anataka