Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Hiyo Return nimeisikia leo kwake, labda inatumika huko majuu ila bongo ni 'go and return'.
Bongo nahisi ukisema 'Return Ticket' wanaeza juwa labda mtu kaenda sasa anataka kata ya kurudi!.
 
Hakikisha unampima HIV, hilo li uncle sidhani kama lilikuwa salama, usikute lilishakufa na yeye kabaki alone, pole sana. Pia huyo siyo mke, hakufai hata kama hujaoa, dhambi ni kama historia, hujirudia, yaani ukidhani yeye kasahau, siku ukimuweka ndani tu lazima akutende tena, so ni vizuri kuepuka vidonda vya tumbo, piga chini huyo dog
 
Soma vizuri wachangiaji wengine..
 
Na bold hapa wenumeandika POINT MKUU
 
Ma - Ex's Wetu Mara Nyingi Tukikutana Nao Huwa Wanatamani Watuone Tumepigika Zaidi.Hata Umtumie Text Unaomba Akukope Hata Angalau 10K.

Muda Mwingine Anatamani Akuone Umekonda Sana Huna Afya Ya Kuridhisha, Kwake Ndio Furaha.

Au Akuone Kila Siku Unagombana Na Konda Kuhusu Nauli.
 
tatizo vina tamaaa halafu sasa hicho kilikuwa hakijielewi.....una moyo we jamaa...
 
Mara nyingi mademu ambao walikuwa na habari nyingi enzi zile za kusoma huwa wanapoteana huku kwenye life after school na huwa wanachuja sana.Angalia vi mwanamke vyenzako ambavyo vilikuwa viruka njia a.k.a vinyau enzi zile za masomo uone vimeishia wapi?
Yeye katoboa mkuu...
 
Wale ma anko wanaopitia wanachuo na kuwatafuna tafuna huwa wanalipizia jinsi walivoumizwa na wao enzi hizo. So the circle continues...
Sure i will do the same kwa jinsi walivyonifirigisa hawa watoto wakike... mwanamke akipata chance ya kukuburuza haachi hata sekunde atakuburuza kweli good thing ni kwamba huwa yana mwisho wake na ukitoka hapo unakuwa kama umehitimu mafunzo ya ukomando hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…