Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Ilikutokeaje mkuu,
Kuna demu mmoja hv nilikuwa nae na nilitoka nae kijijini kwetu mpaka yeye kuwa chuo nilafanya kazi kubwa ya kuwashauri baadhi ya ndug zake

Lakini hawa viumbe wasivo na shukran semister ya pili alianza vibweka vilivyonipelekea kudrop sana darasani mpaka dean akanipa wiki ya kupumzika,kiafya pia nilizorota maana chakula kilikuwa hakiliki in short nilkuwa mwebamba alafu mweusi tii, Mwisho wa siku nikaamua kuwa Mimi ni bora kuliko yeye nikaamua kujipa thaman.na nikamchukulia kama Mbwa
Nakumbuka niliwahi kuleta thread hapa jf wakati napitia huu msoto

Nashukuru baada ya muda nilirudi kwenye hali ya kawaida maisha yakaendelea as usual

Baada ya mwaka mmoja nikapata Manka mmoja mrembo kuliko yeye akataka kujirudisha tena baada ya mambo yake kubuma,nikamtolea nje mpaka Leo anaendelea kutamani arudishe miaka nyuma ila ndo haiwezekan
 
Unamwangalia unamcheka hihihiiiiiiiii
Nimekuelewa zaidi ulivyoelezea kuna mwanamke alizingua kipindi cha chuo sasa hivi ana mtoto kazalishwa mtoto miaka mitatu anasema nimuoe mimi namwangalia nacheka tu
 
Hii issue huwakumba sana sana Wanaume walio Serious ktka mahusiano,Ila wake wa kata funua,chovya chovya,heat and run,hii huwa haiwaumi kabisa!
Pole Mkuu,hata Mimi iliwahi kunikuta kitu kama hii!
Ila kila kitu huwa naamini ni Moango wa MUNGU!
 
Mimi ex wangu katusua kunizidi, ila mimi ndie niliemuacha! Siku ameniona pale Kimara naingia stend za mwendo kasi akanipigia honi akitaka kunipa lift.

uliona noma kupanda gari yake? au ulikimbilia fasta?
 
Mi nashangaa huu uzi, yaani wanaume wote kwenye huu uzi wametendwa na wameumizwa na ma Ex...halafu wote wamekutana nao wamepauka, wanaomba kurudi baada kuona wanaume mambo safi, wakaomba kuwarudia mkakataa, wamezalishwa[emoji15] [emoji15] .......hivi hakuna ex mliokutana nao mambo safi, na wana maisha mazuri na hata hawana mpango wa kuwarudia???
 
Tuelimishane kidogo, tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi, kwa Kiingereza wanaiita 'return ticket' na ile ya kwenda tu wanaiita ' one way ticket'
Ila ukiwa unakata shirika lolote Tanzania wanaiita 'GO and RETURN TICKET' hajakosea!.
 
Hahahah me nina Ex mmoja nilimtorosha sana shule kipindi chetu lakini alipokuja kuwa Miss tukasahauliana, nilijiengua mwenyewe sikuhizi namsikia tu!.. Sijui nani katoboa zaidi kati yetu!.
 

mimi nimemkuta kaokoa na mtoto juu na tokea hapo na cheka ule msemo "mke bora ana toka kwa bwana"
 
Hahahah me nina Ex mmoja nilimtorosha sana shule kipindi chetu lakini alipokuja kuwa Miss tukasahauliana, nilijiengua mwenyewe sikuhizi namsikia tu!.. Sijui nani katoboa zaidi kati yetu!.
Yeye katoboa mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…