Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Hupendwi, hela zako anamuhonga ampendaye!mara nyingi tunatamani sana hizi story kuwa uliemwacha kapauka and so on, wewe mbona husemi mwanamke mwanzo na uzuri wake alikukubalia... ilitosha wewe hapo chuo kuanza biashara ndogondogo hata kuuza bagia umtunze!!
.
.
huoni ulivyopata shekeli ameanza kurudi!?
we jamaa huyu mwanamke ni kama unamkumbuka kiaina, eb kaa na mkeo, ye akipauka inakuhusu nini?? mwache yupo kuna mwamba atamtakatisha muda si mrefu!!
.
.
kikao chetu tulichokaa kilitoka na azimio moja Hela zitafutwe kwa nguvu zote, maana bila shekeli huwezi pata hata busu la mrembo.
.
.
nakala aione kwenye jalada:
zero IQ
naona umechoka kabisa mkuu ukaona uwaambie, waache watutukane tuna wazoom tu sisi tuliotusuaMi nashangaa huu uzi, yaani wanaume wote kwenye huu uzi wametendwa na wameumizwa na ma Ex...halafu wote wamekutana nao wamepauka, wanaomba kurudi baada kuona wanaume mambo safi, wakaomba kuwarudia mkakataa, wamezalishwa[emoji15] [emoji15] .......hivi hakuna ex mliokutana nao mambo safi, na wana maisha mazuri na hata hawana mpango wa kuwarudia???
mbavu zangu mimi jaman,,,JF the best place to stayBongo nahisi ukisema 'Return Ticket' wanaeza juwa labda mtu kaenda sasa anataka kata ya kurudi!.
Uwezo wao wa kuona mbali huwa ni mdogo sana kwa hawa dada zetu.
Una akili za kibaguzi sana kukosa kwa mwanaume ni jambo ambalo linamuumiza na kumkera kuliko hata wewe unaejiita manzi wake.UVUMILIVU KWA HALI YA MWENZIO NI KIPIMO CHA UBINADAMU KWAKOHuu ujumbe sijaukubali na sitakaa niukubali mkuu. Yaani manzi avumilie shida,dhiki, tabu , mateso kwa mtu asie na pesa eti kwa kuamini kua atapata baadae.
Yaani wewe unataka kuaminiwa kwa kitu ambacho hata wewe huna uhakika nacho.
Kwa hili huwa naona tunawalaumu wanawake bure tu, wa kuwalaumu ni wale ambao wanaume zao wanajitahidi kuwapa mahitaji yao kadri ya uwezo wao ila wao hawaridhiki. Sasa wewe humpi chochote unategemea boom/pesa ya mzazi unataka eti akupende kwa kukuonea huruma tu.
Komaa usilie tumia kuachwa huko kama fursa kwa kuwekeza nguvu zako kwenye kupambana.Diamond muachen awazalishe na kuwabwaga ana hasira sana yule jamaa walimtenga enzi zile hana mbele wala nyuma now kazipata anaona female zote kama ubwa tu kasoro mama yake.Dah Jana tu nimeachwa bila sababu
Aiseee inauma sanaa
Kweli we ni kiazu na sasa hivi mbona kapaukaHuu ujumbe sijaukubali na sitakaa niukubali mkuu. Yaani manzi avumilie shida,dhiki, tabu , mateso kwa mtu asie na pesa eti kwa kuamini kua atapata baadae.
Yaani wewe unataka kuaminiwa kwa kitu ambacho hata wewe huna uhakika nacho.
Kwa hili huwa naona tunawalaumu wanawake bure tu, wa kuwalaumu ni wale ambao wanaume zao wanajitahidi kuwapa mahitaji yao kadri ya uwezo wao ila wao hawaridhiki. Sasa wewe humpi chochote unategemea boom/pesa ya mzazi unataka eti akupende kwa kukuonea huruma tu.
vipi haukupasha kiporo?Miaka ya nyuma nilikuwa na msichana wangu mweupe(ugonjwa wangu aisee) Ni msichana ambae nilimpenda sana kwa sababu wenge la mapenzi ndo alinitoa yeye.In short nae alikuwa mzuri sana(according to my eyes) mpaka ikafika point akawa anavuma pale chuoni.
Nakumbuka ilipofika mwaka wa pili mwenzangu akawa na mambo mengi mimi nipo bize na masomo.Ilifika point akawa anafuata na gari kila ijumaa pale chuoni na jamaa fulani wa makamo.
Nikimuuliza mwenzangu anajibu kuwa yule ni uncle wake huwa anampenda sana na pia anafanya kazi pale mlimani city mall hivyo kila ijumaa anamchukua ili aende kwake na mke na watoto.Kwa uzoba wangu ilinibidi nikubali tu japokuwa kuna kitu kilikuwa kinanistua moyoni nikawa nakikemea.
Yule dada kwa kweli aliuwin moyo wangu kwa sababu kila sababu aliyokuwa akiniambia nilikuwa naiubali hata kwa kujilazimisha.
Uncle nilianza kumsuspect kwa sababu alikuwa anamnunulia zawadi nyingi sana including laptop,
na mazaga mazaga akawa ananitenga nikiuliza anakuwa mkali,Niwe tu muwazi mwaka wa pili nilijikuta matokeo yangu ya UE yamekaa vibaya(graph la matokeo likawa limeshuka),marafiki zangu wakawa wanaona ninavyonyanyasika kimapenzi.Ki ukweli alinipenda ila kosa langu kubwa ni kuwa nilikuwa sina hela(mwanafunzi mwenzie).
Lile li uncle likawa lipo bize nae mpaka usiku likawa linampigia simu.Kuna rafiki yangu mmoja ambae tulisoma nae shule ya msingi tumekutana pale chuo akanikalisha chini na kunipa ushauri nikubali kuwa huyu msichana kashatekwa na wajanja coz hata huyo uncle wake kuja kufuatilia kupitia kwa mdogo wake mchumba wangu akaniambia hawana mjomba mwenye jina kama hilo na pia hawana mjomba anaefanya kazi mlimani city.
Nilianza kujifunza kukubali kuwa nimeshatemwa taratibu kwa msaada na usimamizi wa rafiki yangu akaanza kunikeep bize na masomo na mazoezi mpaka ikafika point nikakubali kuwa huyu sio wangu japokuwa kuna wakati alikuwa ananimiss na kujirudi kiuongo uongo ila upendo nikaanza kuuvua taratibu nikajiapiza sitaki mbwa yeyote wa kike aharibu furaha,masomo,moyo na hata afya yangu.
Niliweza kumove on ila niliapa kutafuta pesa kwa juhudi ili nilipize kisasi(japokuwa niliona upuuzi kulipa kisasi).Nilidelete kila kitu kwenye ubongo wangu kinachomhusu yeye nikawekeza nguvu kwenye kutafuta maisha
SABABU YA KUANDIKA:Baada ya kupotezana kwa muda mrefu mwenzangu kumbe ananitafuta kwa muda mrefu sana na kubahatika kunipata kupitia namba ya simu,White ameomba kuonana na mimi bahati mbaya mi nipo mkoa nje ya Dar ikabidi kumuonesha mi mbweha nikamfanyia booking ya Go and return fast jet ili aje huku nilipo tuonane nae nikamuandalia mtu wa kumpokea airport(nina gari yangu Carina TI inafanya service ya Tax) amefikia Hotel fulani kubwa hapa Mkoa nilipo, nimeenda kuonana nae kachoka mbaya ule uzuri wote aliokuwa nao umepungua.
Mbaya zaidi nikatoka nae out mpaka kwenye kitimoto tukapiga story nyingi mi nikamuambia kuwa nimeshaoa hivyo sipo tayari kufanya chochote kibaya nae kwa sababu mi sitaki kuumiza wasio na hatia.
Alilia sana aisee anajutia mazombie aliyonifanyia anatamani movie irudiwe ili asiniumize na anatamani awe mke wangu ila ndo hivyo tena anaishia kulia lia tu hapa.mbaya zaidi nimemkatia tiketi ya go n return ili nimuumize kidogo kwa alichonifanyiaga mpaka ikapelekea mimi kudrop kiufaulu.
Ujumbe wangu:wasichana pendeni watu bila kuangalia kipato chao,kwenye life kuna ups n down tajiri wa leo anaweza akawa masikini wa kesho and vice versa usimjudge mwanaume enzi za utafutaji wake kwa sababu bado anafight hujui atapata nini?
Lazima walishirikiana na "Lady Isa" kama sikosei.Ni wimbo mzuri!Dr Remmy Ongala aliimba umasikini si kilema ni matatizo.
Wewe ndo kiazi kutaka uonewe huruma kisa una shida. Tafuta pesa achana na mambo ya kutafuta huruma, yaani dem aishi kwa shida huku uwezo wa kupewa ela anao.Kweli we ni kiazu na sasa hivi mbona kapauka
Usiulazimishe huo ubinadamu sasa. Yaani wengi wenu mnaona kama ni haki yenu kua manzi kuvumilia shida zako. Hiyo ni hiyari ya mtu hutakiwi kumuona wa ajabu coz hamjazaliwa wote mmekutana tu ukubwani.Una akili za kibaguzi sana kukosa kwa mwanaume ni jambo ambalo linamuumiza na kumkera kuliko hata wewe unaejiita manzi wake.UVUMILIVU KWA HALI YA MWENZIO NI KIPIMO CHA UBINADAMU KWAKO
Nina mashaka na wewe, maneno yako mara nyingi hutamkwa na wanaume vibamia ambao wanategemea pesa kama kizibio cha midomo ya wanawake ili wasitangazwe. Una shida haupo sawa, nina doubt ni lazima una kibamia tu.Wewe ndo kiazi kutaka uonewe huruma kisa una shida. Tafuta pesa achana na mambo ya kutafuta huruma, yaani dem aishi kwa shida huku uwezo wa kupewa ela anao.
Na huyo manzi imetokea tu bahati mbaya, na sio kua wana wote waliotemwa wakati wa dhiki basi wamefanikiwa, wengi wapo kwenye msoto miaka nenda rudi.
Kama huna pesa tafuta unaendana nae ili usilaumu watu.
Huyu jamaa ni type ya Juma lokoleNina mashaka na wewe, maneno yako mara nyingi hutamkwa na wanaume vibamia ambao wanategemea pesa kama kizibio cha midomo ya wanawake ili wasitangazwe. Una shida haupo sawa, nina doubt ni lazima una kibamia tu.
πππ We jamaa, mbona umeongea pumba sana mzee, halafu mwanaume kuongea kuhusu maumbile ya mwanaume mwenzio kuna walakin kidogo hapo. We umejuaje kua wenye vibamia ndo wanaongea hayo?? Kwahiyo ulikaa nao ukavijua vibamia vyao na maongezi yao??Nina mashaka na wewe, maneno yako mara nyingi hutamkwa na wanaume vibamia ambao wanategemea pesa kama kizibio cha midomo ya wanawake ili wasitangazwe. Una shida haupo sawa, nina doubt ni lazima una kibamia tu.
Nina mashaka na wewe, maneno yako mara nyingi hutamkwa na wanaume vibamia ambao wanategemea pesa kama kizibio cha midomo ya wanawake ili wasitangazwe. Una shida haupo sawa, nina doubt ni lazima una kibamia tu.
Bisheni kwa hoja nyie viumbe. Ona huyu eti nina kibamia sijui.Huyu jamaa ni type ya Juma lokole