kuna sabb nyingi zinazowaachanisha watu ukiacha hiyo ya kukosekana kwa mahaba. ikitokea hivyo halafu mmekutana waweza shangaa mwenyewe unatafta pa kwenda kuduiana. lol.
Wote waliokukataa unaweza kuwapa?
''kila nikikutana na girl friends nilioachana nao nawatamani ni do..... (kuto***na).... nao''
Hii ni kauli ya jamaa mmoja.
ckumshangaa coz hata mm imewahi nitokea wakati fulani
Eti mwana jamii ww kwako ikoje?
huwa sirudiani na ex wangu, thats ma principle.
huwa sirudiani na ex wangu, thats ma principle.
Mmh, tukienda kwa kufananisha kihivyo hatutafika
Nikuulize, unaweza kula chakula alichokula mwenzio afu akakitema??
Je, kwenye mapenzi mbona twala sana makombo na walivyotema wenzetu?
cc@watu8
Nikuulize, unaweza kula chakula alichokula mwenzio afu akakitema??
Hahahah....hili swali umezidisha manjonjo, mi nadhani ulipaswa uulize hivi,
"Nikuulize, unaweza kula chakula alichosusa mwenzio??"
Jibu ni ndio kwa kuwa bado chaitwa chakula...

Kuna mmoja tu, hata anikute na vitukuu nampa
Wengine h
Kama unaweza ku-do na mwinginewe yeyote sasa inakuwaje HARAMU ku-do na EXs??
The question here could be are you ready to screw any man/woman apart from your incumbent partner?
Myself, i don't think if there will be a day when i'll turn my back to the ex!..once past..past forever!!
ushawahi kukutana na ur x just an accident or planned??
mara zote nimekua nikiwakwepa maEX kwa kuhofia kuvunja ndoa zao....si unajua mambo ya comparison...sasa nikitoa ile A-list game yangu naweza kuta nabishiwa hodi kila mara!!!
Inategemeana, mbona mimi ma ex-girlfriend zangu wooote na do nao kirahisi tu? Tena wananipenda sana. Si mlijionea wenyewe yule ambae alikuwa akidundwa na mmewe anakimbilia kwangu? Sasa mnafikiri akija kwangu nilikuwa nampa pole halafu anarudi hivyo hivyo? Pumbaf nyie ambao mnakata ku do na ma ex wenu! Sema hamkuweka misingi mizuri wakati mnaachana