Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,431
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani asikupe stress kabisa...
Akuache mwenyewe na mizinga akupige???
Haiwezekani yaani haiwezekanai
Msemee kwa mkeo
Usikubali!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani asikupe stress kabisa...
Akuache mwenyewe na mizinga akupige???
Haiwezekani yaani haiwezekanai
Msemee kwa mkeo
Usikubali!!!
Kuna Makundi mengi kumbe ya wahengaHao walikuwapo enzi za picha. Kuna wengine utahadithiwa tu kwa sababu waliishi kabla ya teknolojia ya kupiga picha kuwepo.
😀😀😀😀😀😀Wahenga walisema: "Usilime Shamba la Miwa karibu na Shule ya Msingi."
Wewe ukawa mbishi!!!, Furahia show hiyo Mubashara.
yaani haeleweki kabisa maana alikuwa mchepuko wangu kwa miaka kama miwili hivi na uwa tunaongea bila kufichana I mean we were open to each other ndio maana hata alipokuja na hiyo hoja nilimuelewa kwa kuwa tunaongea nae kwa uhuru, ukweli na uwaziBado anakupenda huyo
hii ni ile bond yenye longeat chain na complex compound,Hiyo bond haijavunjika vizuri
Huo dawa yake ni hii tu. Maana hamna namna tena...Habarini wadau
Nina mchepuko wangu mmoja kama mwezi sasa ulikuja kwangu na hoja kuwa tuachane kwani unahisi hautendi haki kuwa na mimi kwa mke wangu na familia yangu. Huu mchepuko una jamaa yake. Sasa cha ajabu ni kwamba kila mara unapiga simu na pia unakuja sehemu yangu ya kazi kupiga story na mizinga midogo midogo na unasema umenizoea sana kama rafiki yake. Nashindwa kuuelewa kabisa maana hoja ya kumwagana ulileta wenyewe na mie nikakubaliana nae 100%

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani asikupe stress kabisa...
Akuache mwenyewe na mizinga akupige???
Haiwezekani yaani haiwezekanai
Msemee kwa mkeo
Usikubali!!!
Kumbe ndo hao wahengaKwahiyo wahenga nao wamegawanyika sehem nyingi![]()