BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,486
- 3,684
Pole aisee na hayo majukumu ya dailyDah kwahiyo mwamba anameza hizi tembe daily?View attachment 2421009
Pole aisee na hayo majukumu ya dailyDah kwahiyo mwamba anameza hizi tembe daily?View attachment 2421009
Asante mkuu [emoji120]Pole aisee na hayo majukumu ya daily
jibu zuri sanamimanii haina ngoma yoyote ndio mana anaweza kuzaliwa mtoto kutokana na hiyohoyo mimanii na akawa mzima
Madam haya mambo yapo tafadhali niambie unahitaji nikuaminishe vipi ili nikupe shuhuda za yote yahusuyo hili gonjwa.Hadi zama hizi bado mnaamini kuhusu HIV acheni hizo bhana
Nipe ShuhudaMadam haya mambo yapo tafadhali niambie unahitaji nikuaminishe vipi ili nikupe shuhuda za yote yahusuyo hili gonjwa.
Naelewa kuhusu habari za kuusoma huu ugonjwa hakuna usichoelewa.Nipe Shuhuda
Sijawahi kuona Mtu anaumwa UKIMWI,Naelewa kuhusu habari za kuusoma huu ugonjwa hakuna usichoelewa.
Sasa nahitaji urely kwenye kitu kinachokufanya usiamini uwepo wake
Safi sasa umekuja vizuri .Sijawahi kuona Mtu anaumwa UKIMWI,
ila nimeona wagonjwa wa TB, KANSA, HOMA YA INI, MALARIA, TYPHOID, PRESHA, SUKARI, INI, MOYO, FIGO, GONO, KASWENDE, KICHWA, KIPINDU PINDU, KUHARA, n.k
Safi sasa umekuja vizuri .
Rafiki Dream Queen hongera kwa kutowahi kuwaona wagonjwa wa hivyo ila pole pia maana hakika umekuwa nyuma.
Actually nimeanza kuona watu wa magonjwa hayo 200.. alikuwa ni mama yangu mzazi , sikujua mpaka alipofariki .
Akafuata mdogo wangu 200.. nilijua maana alikuwa akitumia dawa za maji alizokuwa anapimiwa kutokana na vipimo husika sababu alikuwa bado mdogo .
Finally miaka ya mbele kidogo, my late Father , wote walishafariki .
Twende sawa sasa , hapo juu nilikuwa najaribu kukuonesha UKIMWI upo na nilianza ushuhudia mda kidogo.
Sasa leo nakuleta kanda za juu kusini niko huku nahusika moja kwa moja na hawa watu vijijini huku hasa ushauri nasaha , kuwapa dawa , kuwafariji pale panapowezekana .
Utamjuaje mtu aliyeathirika ?
Mpenzi rafiki itakuchukua muda sana kumjua mtu aliyeathirika akawa anatumia dawa , rafiki unaweza usimjue kabisa pia .
Ila akiwa hajaanza dawa na CD4 yaani kinga mwili zikishuka sana basi ni rahisi kumtambua haraka kwa mambo yafuatayo.
1/Kuhara kusiko kwa kawaida au kusikokoma .
2/Upungufu wa uzito kwa kasi
3/Ngozi kukosa uangavu asilia .
4/Magonjwa nyemelezi kwa mtu huyo .
5/Vipere mparazo hasa sehemu zenye kupatwa na joto muda mwingi , basi wahenga wakasema mkanda wa jeshi .
6/Mabadiliko ya ute wa mate yake kuwa mzito kuliko kawaida.
Dada Dream Queen sikutumi ukawachunguze ila ukawe msaada maana kwa ulimwengu wa sasa UKIMWI si lolote na wala chochote.
Nakuona unaniuliza mbona unasema huu ugonjwa si lolote wala chochote ni kweli rejea miaka anuwahi katika mifano yangu hapo juu kwa hiyo miaka hali ya mtu mwenye hili gonjwa ilikuwa ni mbaya sana kiasi cha kuwapiteza watu wengi ila leo dawa zinasaidia sana kiasi cha kuwa mpaka viral load zinapungua YES
Unaniuliza ndiyo nini hiki ? Hiyo ni idadi ya virusi mwilini .
Ukiendelea kujifunza utakutana na watu wanasema mbona fulani ni muathirika ila ukimpima unakuta yupo negative
Hapo ndiyo tunasema viral load ziko chini sana sababu ya matumizi sahihi ya dawa japi ni rahisi kumgundua kwa kipimo kilicho kikubwa zaidi.
Natamani nikutumie mafile ya idadi ya waathirika ili walau ujue ni vipi huu ugonjwa uko nao katika jamii yako ila sasa mamlaka na sheria haziniruhusu.
Ndugu itoshe kusema UKIMWI upo jihadhari sana kwa kumlinda umpendaye na akupandaye.
Nipo kijiji ambacho nyumba nne basi tatu ni waathirika wote .
Nipo sehemu ambayo UKIMWI ni jambo la kawaida maana wengi wanao .
Nipo sehemu ambayo alhamisi ni siku ya kuwagawia dawa na ushauri na si ajabu kuhudumia watu zaidi ya mia saba mpaka mia tisa.
Na pia hawajifichi tena .
Najua haujayashuhudia haya sababu ya sehemu ulipo walio positive hawako tayari kujulikana.View attachment 2424899
Sio ugonjwaBado hujanionesha mgonjwa wa UKIMWI,
Sababu Kinga ya Mtu ikishuka ni rahisi kupata magonjwa hilo lipo wazi, ndio maana nikasema nimeshuhudia wenye magonjwa niliyoyataja hapo juu lakini sijashuhudia mwenye UKIMWI,
Labda nikuulize swali, UKIMWI ni Ugonjwa?
Kama sio Ugonjwa inakuaje watu wanameza dawa?Sio ugonjwa
Hapana mpaka hapo nimeelewa ni nini unahitaji aisee iam sorry sina uwezo huo mkuu wa kukuonyesha mgonjwa mwenye maambukizi
Nje ya haki za wagonjwa.
Ni kweli UKIMWI sio ugonjwa ila ni upungufu wa kinga mwilini ambao moja kwa moja ni lazima ukupeleke kwenye kupata ushambuliwaji wa magonjwa nyemelezi kama uliyoyataja katika mifano yako anuwahi japo sio yote utayapata kutokana na upunguaji wa kinga mwilini mfano KANSAKama sio Ugonjwa inakuaje watu wanameza dawa?
Hapana wewe twende taratibu tu utaelewa point yangu, nakukumbusha huko juu nimekuorodheshea aina za Magonjwa kama TB, KANSA, INI, HOMA YA INI, MOYO, MALARIA, PRESHA, n.k
Nikakwambia binafsi nimeona wenye hayo magonjwa ikiwemo mimi mwenyewe nishawahi kuugua Malaria, Kichwa, Homa, kwa hiyo naelewa ugonjwa ni nini lakini sijawahi kuona ugonjwa wa UKIMWI bali naona mtu anaumwa TB wanasema ana UKIMWI, anaharisha wanasema UKIMWI.....
Nipo tayari unieleweshe mtaalam.
Now tumeanza kuelewana,Ni kweli UKIMWI sio ugonjwa ila ni upungufu wa kinga mwilini ambao moja kwa moja ni lazima ukupeleke kwenye kupata ushambuliwaji wa magonjwa nyemelezi kama uliyoyataja katika mifano yako anuwahi japo sio yote utayapata kutokana na upunguaji wa kinga mwilini mfano KANSA
Najua hapa point ambayo mimi na wewe bado tunapishana ni hapa kwenye UKIMWI ni ugonjwa au sio ugonjwa ukweli ni kuwa sio ugonjwa ila ni kama nilivyoeleza hapo awali .
Sasa kwanini utumie dawa ?
Dawa unatumia kujaribu kuraise up huo upungufu wa kinga mwilini.
Natanguliza shukrani [emoji120]
Phaller sana wewe nimecheka sana😂Chubwa chubwa chubwa chubwi chubwi
Chwachwachwa nimekumwagikia tayari 😁
Mkuu Dream Queen unajua ya kuwa mwisho wa kuwapa madawa bado wanashauriwa kutumiwa vyakula vyenye atleast mlo kamili yaani vyakula vinavyokuwa na virutubisho vya kutosha mwilini ?Now tumeanza kuelewana,
Kwanini nitumie madawa tena makali kupandisha Kinga zangu za Mwili wakati zinaweza kupandishwa kwa virutubisho vilivyopo kwenye chakula, kwa kuondoa msongo wa mawazo, kwa kufanya mazoezi, na mengine kama hayo ambayo nyie wataalam mnatuelekeza???
Huoni kama Dawa ndio zinazofanya kuzorotesha mwili wa muhusika?
Huyo mgonjwa wa Presha au Moyo yale madawa mwisho wake hua yanamfanya vibaya.....
Mkuu Dream Queen unajua ya kuwa mwisho wa kuwapa madawa bado wanashauriwa kutumiwa vyakula vyenye atleast mlo kamili yaani vyakula vinavyokuwa na virutubisho vya kutosha mwilini ?
Sasa embu twende nje ya taaluma kidogo
Ni mara ngapi umesikia kuna watu wanaishi na virusi ila bado hawajajijua ila wako fit tu ?
Basi iko hivi mara nyingi kinachomdhoofisha mgonjwa sio dawa ila ni mawazo na stress baada ya kuwa mwenye virusi hivyo maana wasio na stress hizo wapo salama na afya tele.
Kwanini dawa na sio vyakula kuraise kinga ?
Ndugu maisha ya mtanzania unayajua mlo kamili ni mtihani na uelewa wa vyakula vyenye mlo kamili bado ni mtihani .
Swali la kizushi
Toka asubuhi mpaka muda huu umekula matunda ?
Je ni rita ngapi za maji umekunywa ?
Jibu baki nalo.
Sitaki kukuaminisha wala kukubaliana na Wewe ati vyakula vyatosha kurudisha kinga
Kwanini nisikubaliane na wewe ?
Rafiki , kinga za mwili ukisema irudishwe kwa virutubisho vya chakula tutauwa watu wengi , kwanini ?
Sababu kinga zinakuwa zimeshuka sana kiasi ambacho sio rahisi kuzipandisha kwa hivi vyakula vyetu hata kama vina virutubisho .
Ila nakubaliana na wewe ikiwa mtu anatumia dawa basi akawa anakula vyakula vyenye virutubisho basi anaweza kuziacha kwa muda na asione madhara mapema kama kwa wale wenye lishe duni.
Asante , nahisi umenielewa .
Natanguliza shukrani [emoji120]
Story hizi mtu utaacha mpaka yakupate.... 🤣🤣🤣🤣 Omba tuu uwe safe hivo ila mambo yapo ooohMkuu Dream Queen unajua ya kuwa mwisho wa kuwapa madawa bado wanashauriwa kutumiwa vyakula vyenye atleast mlo kamili yaani vyakula vinavyokuwa na virutubisho vya kutosha mwilini ?
Sasa embu twende nje ya taaluma kidogo
Ni mara ngapi umesikia kuna watu wanaishi na virusi ila bado hawajajijua ila wako fit tu ?
Basi iko hivi mara nyingi kinachomdhoofisha mgonjwa sio dawa ila ni mawazo na stress baada ya kuwa mwenye virusi hivyo maana wasio na stress hizo wapo salama na afya tele.
Kwanini dawa na sio vyakula kuraise kinga ?
Ndugu maisha ya mtanzania unayajua mlo kamili ni mtihani na uelewa wa vyakula vyenye mlo kamili bado ni mtihani .
Swali la kizushi
Toka asubuhi mpaka muda huu umekula matunda ?
Je ni rita ngapi za maji umekunywa ?
Jibu baki nalo.
Sitaki kukuaminisha wala kukubaliana na Wewe ati vyakula vyatosha kurudisha kinga
Kwanini nisikubaliane na wewe ?
Rafiki , kinga za mwili ukisema irudishwe kwa virutubisho vya chakula tutauwa watu wengi , kwanini ?
Sababu kinga zinakuwa zimeshuka sana kiasi ambacho sio rahisi kuzipandisha kwa hivi vyakula vyetu hata kama vina virutubisho .
Ila nakubaliana na wewe ikiwa mtu anatumia dawa basi akawa anakula vyakula vyenye virutubisho basi anaweza kuziacha kwa muda na asione madhara mapema kama kwa wale wenye lishe duni.
Asante , nahisi umenielewa .
Natanguliza shukrani [emoji120]