Ex kamuambikiza HIV

Ex kamuambikiza HIV

Kila mtu awe makini maana ni kweli mara nyingi hatupimi upya na wale wa zamani tuliowaacha.
 
Acha uongo mkuu,sio kweli kwamba ukichovya tu unao,unaweza ukapiga hata waathirika 1000 na ukapiga kisawasawa na ukapima hamna kitu
Unenikumbusha Janeth wa Tabata, yule manzi alikua na umeme alafu bonye moja ya pisi tako kubwa hiha, siku moja akaniambia niende kwake nikamtembezee moto sina habari nikawa nimebanwa na kazi, nakapotezea kumbe MuNGU ana mipango yake

The day ananiambia yeye ni HIV +ve na the day ningeenda kumla alikua ananibebesha miwaya niliduwaa, akanionyesha kwenye Kit kitu kinasoma +ve nilichoka

Janeth popote ulipo Mungu akupe ulinzi, wasiponzeke na hilo tako utawamaliza wengi,
 
Nakumbusha umma.
VVU hukaa kwenye shahawa "semen"
VVU hukaa kwenye Damu.
VVU hukaa kwenye utelezi wa njia ya haja kubwa sio kwenye kimba.
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanamke "Utelezi wenyewe ule"
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanaume "Pre cum".
VVU havikai kwenye mate.

Nakumbushia ndugu zangu japo nje ya mada.
 
Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza hiv
Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume,mwanaume akaoa kabisa huko,baadae mdada nae kaolewa.akiwa na Mimba miezi mitatu kakutana na ex akampa .mume alikuwa kasafiri nje ya nchi..Sasa hivi Dada yupo kwenye database ya taifa
Mbaya zaidi hakumuambia mume alivorudi nae akampa .Aliogopa kusema.
Kuna watu wanapitia magumu nyie acheni tu
Pimaneni Jamani Kuacha ngono sio easy .mimi hadi damu itaniishia.kila goli Moja .tunapima Tena.

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
Mungu wangu.dunia inaisha hii.ukimwi upo na unaua .kujichunga ndio njia sahihi
 
Mie ndio maana kilio changu kipo pale pale...jamani wanaume tugegede malaya kama tunataka kutoukwaa huu ugonjwa. Hawa gelofrend sijui wife ndio wanatuoeleka kaburini mapema. Tulinde uhai at all cost
💯🤝 Hii point sana nimekuelewa kupata hili gonjwa kwa malaya ni ngumu sana
 
Acha uongo mkuu,sio kweli kwamba ukichovya tu unao,unaweza ukapiga hata waathirika 1000 na ukapiga kisawasawa na ukapima hamna kitu
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi ule wimbo wa jipe moyo aliimba nani vile?
 
Ni mtu MPUMBAVU tu ANAWEZA kuuza mechi BINAFSI SIJAWAHI kuuza mechi ila mbegu nyingi za watoto zineishia kwenye ndesa au soski au condoms BE CAREFUL AIDS KILLS
 
Back
Top Bottom