Ex kamuambikiza HIV

Ex kamuambikiza HIV

Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza HIV. Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume, mwanaume akaoa kabisa huko, baadae mdada nae kaolewa. Akiwa na Mimba miezi mitatu kakutana na ex akampa.

Mume alikuwa kasafiri nje ya nchi.. Sasa hivi Dada yupo kwenye database ya taifa. Mbaya zaidi hakumuambia mume alivyorudi nae akampa. Aliogopa kusema. Kuna watu wanapitia magumu nyie acheni tu

Pimaneni Jamani Kuacha ngono sio easy. Mimi hadi damu itaniishia, kila goli Moja tunapima Tena.

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
😅 😅 😅 😅 Dah..!! JF sihami ngóoo..!! Kwahiyo unapigwa goli moja kila baada ya miezi mitatu?
 
Acha uongo mkuu, sio kweli kwamba ukichovya tu unao, unaweza ukapiga hata waathirika 1000 na ukapiga kisawasawa na ukapima hamna kitu
Kwa mwanamke, kutokana na maumbile posibility ni kubwa ukilinganisha na mwanaume..!! We mimanii yako yenye ngoma umwagie mtoto wa watu halafu atoke salama..!!!
 
Kuna watu hawana taarifa sahihi kuhusu VVV wanasema mpaka michubuko.
VVU hukaa kwenye shahawa "semen"
VVU hukaa kwenye Damu.
VVU hukaa kwenye utelezi wa njia ya haja kubwa sio kwenye kimba.
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanamke "Utelezi wenyewe ule"
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanaume "Pre cum".
VVU havikai kwenye mate.
Sio mpaka uchubuke maji yenye VVU yakipota kwenye mrija ushadaka. Na mwanamke jamaa hata asipomwaga akikuachia "pre cum" humo ndani unadaka

Nakumbushia ndugu zangu japo nje ya mada.
Ingekuwa ivo kila mtu ni muathirika..vp wanaotembea na wenye HIV na hawapati?
 
Kwa mwanamke, kutokana na maumbile posibility ni kubwa ukilinganisha na mwanaume..!! We mimanii yako yenye ngoma umwagie mtoto wa watu halafu atoke salama..!!!
mimanii haina ngoma yoyote ndio mana anaweza kuzaliwa mtoto kutokana na hiyohoyo mimanii na akawa mzima
 
Kuna watu hawana taarifa sahihi kuhusu VVV wanasema mpaka michubuko.
VVU hukaa kwenye shahawa "semen"
VVU hukaa kwenye Damu.
VVU hukaa kwenye utelezi wa njia ya haja kubwa sio kwenye kimba.
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanamke "Utelezi wenyewe ule"
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanaume "Pre cum".
VVU havikai kwenye mate.
Sio mpaka uchubuke maji yenye VVU yakipota kwenye mrija ushadaka. Na mwanamke jamaa hata asipomwaga akikuachia "pre cum" humo ndani unadaka

Nakumbushia ndugu zangu japo nje ya mada.
acha uongo ingekua hivyo kila mtu angekuwa muathrikia katika watanzania mil 60 waathirika wangekuma mil 55,hivi siku ukiambiwa hata vvu yenyewe ni illusion tu wala sio kitu halisi utajisikiaje
 
Asee, mwanamke alitingwa hivyo. Kuliko kwenda kuliwa na Ex wake si angetutafuta sisi wengine tupo, angepata bao zake alizokusudia bila hiyana.
 
Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza HIV. Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume, mwanaume akaoa kabisa huko, baadae mdada nae kaolewa. Akiwa na Mimba miezi mitatu kakutana na ex akampa.

Mume alikuwa kasafiri nje ya nchi.. Sasa hivi Dada yupo kwenye database ya taifa. Mbaya zaidi hakumuambia mume alivyorudi nae akampa. Aliogopa kusema. Kuna watu wanapitia magumu nyie acheni tu

Pimaneni Jamani Kuacha ngono sio easy. Mimi hadi damu itaniishia, kila goli Moja tunapima Tena.

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine haya mambo yanahitaji tu ulinzi wa Mwenyezi Mungu. Maana wote hatujui kesho yetu.

Unategemea mtu aliyepata maambukizi ndani ya miezi mitatu kushuka chini, ukimpima utamkuta na hayo maambukizi?
 
Dah kwahiyo mwamba anameza hizi tembe daily?
20221119_154156.jpg
 
Mapenzi huwa sio dharula.
Pima kwanza kabla ya kumla mtu.
Vinginevyo Kinga zipo za kutosha
 
hahahahahahaha
Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza HIV. Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume, mwanaume akaoa kabisa huko, baadae mdada nae kaolewa. Akiwa na Mimba miezi mitatu kakutana na ex akampa.

Mume alikuwa kasafiri nje ya nchi.. Sasa hivi Dada yupo kwenye database ya taifa. Mbaya zaidi hakumuambia mume alivyorudi nae akampa. Aliogopa kusema. Kuna watu wanapitia magumu nyie acheni tu

Pimaneni Jamani Kuacha ngono sio easy. Mimi hadi damu itaniishia, kila goli Moja tunapima Tena.

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
Hahahaha
 
Alikua +?
𝐶𝑘𝑢𝑚𝑝𝑖𝑚𝑎, 𝑏𝑢𝑡 𝑎𝑠𝑒𝑒 𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑖ℎ𝑎𝑟𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑦𝑎𝑘𝑒 𝑛𝑎 𝑛𝑖𝑙𝑖𝑦𝑜𝑦𝑎𝑘𝑢𝑡𝑎 𝑛𝑖𝑙𝑖𝑎𝑚𝑢𝑎 𝑡𝑢 𝑘𝑢𝑗𝑖𝑠𝑎𝑙𝑖𝑚𝑖𝑠ℎ𝑎 𝐶𝑙𝑖𝑛𝑖𝑐
 
Back
Top Bottom