Ex kamuambikiza HIV

Ex kamuambikiza HIV

Hapana sijakuelewa hata kidogo,
Umesema UKIMWI sio Ugonjwa nikakuuliza kwanini Watu wanapewa Dawa na sio Virutubisho? Umejibu Dawa wanapewa lakini wanashauriwa wapate na Virutubisho bado tupo pale pale "Kama sio Ugonjwa kwanini wapewe Dawa!??"

Hoja ya kusema Watanzania hatufati Mlo kamili hii ina maana ya vipato vyetu na uelewa wa huo mlo kamili wenyewe, kwa hiyo Watanzania wengi tuna UKIMWI??? Je tukapange foleni kupandisha hizo kinga??

Bado tupo pale pale Mtu hana Ugonjwa kwanini atumie DAWA?? tujuavyo Dawa ni kwa ajili ya kutibu ugonjwa vipi huu Ukosefu wa Kinga Mwilini mtu apewe Dawa badala ya vitu vya kupandisha Kinga yake?? Umegusia kuhusu stress watu wengi tuna stress je tukipata stress kinga za mwili zikashuka basi tukimbilie kupanga foleni kupewa ARV???
Tafadhali nisome vizuri tena katika komenti yangu ya kuwa UKIMWI sio ugonjwa ila ni upungufu wa kinga mwilini alafu patizame vizuri nimesema kwanini mtu atumie dawa.
 
Tafadhali nisome vizuri tena katika komenti yangu ya kuwa UKIMWI sio ugonjwa ila ni upungufu wa kinga mwilini alafu patizame vizuri nimesema kwanini mtu atumie dawa.
Nimekusoma na kukuelewa kua UKIMWI sio Ugonjwa ila ni Upungufu wa Kinga Mwilini, Mtu akiwa na Stress Kinga hushuka sana ndio maana anapewa ARV ili kupandisha kwa haraka na zikiwa sawa anaweza akaziacha hizo Dawa......
 
Back
Top Bottom