Ex anasumbua sana...

Namjua, naweza kurudiana naye muda wowote nitakaotaka na akawaacha hao wengine lakini sina future nae.
 
Hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke. Kama hutaki kumpa, rara mbere acha kumpotezea muda kaka wa watu.
 
We binti kazania kusoma mapenzi yapo tu! We kiri tu jamaa alikugegeda kwa kutumia ukaribu uliokuwepo bila ya kukutongoza
No...
Tulikua na fikira za kua mke na mume lakini haijawezekana na sijutii tena. Sasa siwezi rudiana nae au kumuacha anitumie anavyotaka yeye, l respect myself.
 
Nnachokiona hp yawezekana kweli humtaki tena kimapenzi ila vimisaada vyake kwako ndio vitakavyosababisha akukaze naona unashindwa kabsaaa kumwambia kwa herufi kubwa kwamba "NO" unaogopa kumuudhi wanawake mnapenda sana kitonga ndio tatzo urafiki na maex wa kazi gani?
 
Niliumwa mkuu, sikua na mtu mwingine wa kunisaidia zaidi yake. Alinipeleka hospitali usiku wa saa sita.
Haaaaaahaaaaa yaani nlijua tu jamaa itakuwa ana take care baadhi ya bills unataka kusema kwa mfano usingekutana nae tena ungefia ndani?
 
Muwa umeufanya mkongojo? Subiri upate kiu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimemuweka wazi mkuu na kumwambia msimamo wangu, tulishirikiana vitu vingi kwa pamoja ndio maana uwa ananijali kuliko demu wake. Tunaweza kukaa pamoja grocery, mademu zake wakipiga simu au text atawaignore na ananiweka wazi mtu fulani ananipigia.
 
Nimemuweka wazi mkuu na kumwambia msimamo wangu, tulishirikiana vitu vingi kwa pamoja ndio maana uwa ananijali kuliko demu wake. Tunaweza kukaa pamoja grocery, mademu zake wakipiga simu au text atawaignore na ananiweka wazi mtu fulani ananipigia.
Narudi tena chunga sana misaada kampani kampani na ukaribu wa kindezi ndezi km kweli humtaki c ukate tu line ufanye km mlivyoachana hamjakutana tena!
 
Na sio lazima yeye akuone dada yake, kama hutaki kumpa kaa mbali nae sababu najua mwishowe atakugonga tu , ondoka wakati bado una uwezo wa kufanya hivyo
 
Nilicho gundua huyo ex wako unampenda sana sema unaamua kujificha. Lkn kimsingi huyo jamaa hata wewe unampenda sana. Maana siyo kwa kumuanzishia nyuzi nyingi hivyo.
 
Mpe kwani anaondoka nayo hiyo k'si utabaki nayo mwenyewe ikiwa vilevile
 
Awe kaka ako umezaliwa nae tumbo moja acha hizo wewe mpe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…