Ex amerudi kwangu

Mimi nafundishika. We can be tamed ... After all we dogs right 🙂

Ninachoamini different strokes for different folks.. and you will never know until you have tried.

We are only happy because we got hopes. Hakuna anayejua kesho ya kila kitu.. Kama moyoni anajua and she is willing to commit and try.. Take care of him and love him.. nasema amina.

If goes back to his ways.. ndio wahenga wanatuambia tenda wema na uende zako 😀

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
😀
Sema nadhani na shida yake imekuwa kubwa.. Ingekuwa amevunjika mguu walau .. I can sense hapa ndio ugumu imejichimbia 😀

Jamani si wanaume wote.. maana I know a few women ambao they are quitters too... Ukifulia , Ukishushwa cheo, Ukiacha kuwa celeb ukizeeka, na wao wanayeyuka..

Many cases Moja nadhani Tabora Jazz waliimbia kibao mwanana.. Nikikumbuka Jina nitakiweka ukisikize.

It boils down to people.. neither women nor men are safe in this. Kikubwa ni kuwa na Imani tu.. and if it happens to you.. unapiga konde moyo unasonga mbele.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bora maradhi ya kuugua au kuvunjika mguu utampa msaada wa kiubinadamu Ila hii ya kujitakia nakurudi ulipoharibu kwanza Hana upendo karudi vile huyo dada humvumilia sasa huko alikotoka kazalilishwa anarudi kufia huku aliponyea kambi, kwanza ex sio mtu wakuzoeana wengi huwa hawana jipya unakuwa ka unasoma old chapter ukitegemea kupata jambo jipya. Kiukweli ex hata nikipiga naye mechi moyoni anakuwa hayupo kabisa ilikuwa kutoa hamu tu basi.
So tukiwa vizuri tujifunze kuheshimu wanaotujali sio mpaka yakikushinda kwa wote ndio urudishe makalio.
 
😀
Cariha umefunguka naona !!!
Kufukua makaburi sio vizuri lkn.. unaweza kukutana na vibwengo!

Mkiachana ..inabidi muache kila kitu.. haya kutuliza kiwi it's not advisable.

Jamaa yangu Asamehewe... Hata Sister mwenyewe alikuwa yupo tu..single.. hakuna mishemishe.. yeye ampokee ndugu yetu wawe hata wanatumia muda wao kufuma masweta. #love sio lazima kusocialize.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna saa nafurahi kuna saa nahuzunika kweli Dunia duara
Afadhali umecheka nimepata amani maana binadamu wa JF si watu!!

Hizo comments huko juu zinaweza fanya upate pressure, kisukari, Sonona, homa, stroke ama vyote kwa pamoja na ukufe kabisaa ..
Hawa watu hawajui wanasema nini, wewe pekee wajua the whole situation .. na wala usijali na vile maisha ni yako wapotezee tu.

Kuhusu suluhu ni mpaka huyo jamaa akueleze tatizo limeanza vipi na lina umri gani, hapo ni mwanzo wa tiba yake.
Usimuache peke yake kama watu wasemavyo, wapo watu wamejidhuru kwa hali kama hiyo na badae ukajikuta unaishi kwa majuto maisha yote.
 
Sasa akijiua ..Huyu Dada kosa lake Ni Nini?...kwani huko alikokua hao wanakosa gani...matatizo yanampata kila mtu..lakini huwezi kuondoka ukanikumbuka Mimi wakati wa kuumwa kwako...hata Mungu mwenye huruma aanataka tusimkumbuke wakati wa shida tu.

Inamaana wanawake wote wamemkataa na Hali yake..akakumbuka Kuna mmoja anahuruma Sana atanihurumia na Hali yangu.

KHAAAAA...MTEULE UWE MACHO
 
Hii sio kuhusu kosa la mtu ni kuhusu utulivu/amani ya moyo kwa mhusika.
 
Kwa kifupi ni kwamba wewe ndiye uliyekosa soko na hivyo umemrudia huyo jamaa yako khanisi.
 
Ila we ni maraya,, hamjakutana miaka miwili af unataka otoe papuchi?
 
Huu ndo ukweli.
 
Mashine kugoma huwa inatokea (kwangu si kitu ngeni) kuna sababu mbalimbali kama vile kisaikolojia , kuchezewa , mshtuko ...mimi sometimes inalala ndani ya papuchi hasa nikichepuka.
Huyo demu bado anampenda jamaa halafu na yeye hana mtu
Picha ya hiyo mashine huna?
 
Wadada wengi mnamponda huyu mwenzenu lakini kiuhalisia nna uhakika nyie wenyewe mkiitwa na ma x wenu.... wale hasa waliokua wamewakaa moyoni, mtaruka na kukimbia mbio kali sana kuwahi huko loji. 😆
Siwezi ingia lodge ina maana sehemu ya nje haipo?
 
Mimi nikuachana na mtu hata kupasha kiporo staki in short niki move on hata uje ulie machozi ya damu sibadiliki kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…