Mmh!Mashine kugoma huwa inatokea (kwangu si kitu ngeni) kuna sababu mbalimbali kama vile kisaikolojia , kuchezewa , mshtuko ...mimi sometimes inalala ndani ya papuchi hasa nikichepuka.
Huyo demu bado anampenda jamaa halafu na yeye hana mtu
Sasa mtu si ameshajirudi na ameomba msamaha kwanini sasa usimsamehe?Kabisa...kujitwisha mizigo isiyo lazima kisa huruma...
Ndo Kama wale wanaume wanaondoka kwenye familia Miaka 20 wametelekeA watoto..alafu anarudi na kisukari, pressure na Stroke anavaa pampas... Anasema nisamehe mke Wangu ndoa yetu ya kanisani kutengana Hadi kifo..Ni shetani
Huyo aliekuwa na Miaka 20 yupo wapi.
Wanaume mnakuwa wapole Sana pale mnapofikwa na janga..Huyo Kaka anahitaji msaada mkubwa.. Msiwe wenye kuweka hila na chuki mioyoni...
Yeye kama iko namna amsaidie tu... Sasa unadhani itakuwaje!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukiachilia mbali mambo ya imani za kidini lakini amini nakuambia "KUSAMEHE" na kusahau yaliyopita ni moja ya nguzo kuu ya muunganiko kati yetu wanadamu na Mungu.Kabisa...kujitwisha mizigo isiyo lazima kisa huruma...
Ndo Kama wale wanaume wanaondoka kwenye familia Miaka 20 wametelekeA watoto..alafu anarudi na kisukari, pressure na Stroke anavaa pampas... Anasema nisamehe mke Wangu ndoa yetu ya kanisani kutengana Hadi kifo..Ni shetani
Huyo aliekuwa na Miaka 20 yupo wapi.
Mkuu....nakuuliza ningerudi na mtoto baada ya Miaka miwili nakuomba msamaha ...na umlee mtoto Kama wako ungekubali..nahiyo Miaka miwili alikua anasubiria Huyu HANITHI arudi kuomba msamaha?Sasa mtu si ameshajirudi na ameomba msamaha kwanini sasa usimsamehe?
Mkuu kumsamehe mtu haimaanishi tuwe matafiki Tena...Mimi kunawatu washanifanyia makubwa..nimewasamehe Sina chuki Wala Sina ubaya nao..LAKINI HATUWEZI KUWA MARAFIKI TENA...Ukiachilia mbali mambo ya imani za kidini lakini amini nakuambia "KUSAMEHE" na kusahau yaliyopita ni moja ya nguzo kuu ya muunganiko kati yetu wanadamu na Mungu.
Pamoja na kuondoka kwa miaka miwili lakini ukumbuke anasema katika kukutana kwao ameshawishiwa hadi akamvulia chuppi hata kama ni kwa shingo upandeWanaume mnakuwa wapole Sana pale mnapofikwa na janga..
Huyo Dada kumsaidia kwake atamsaidia labda kumfariji ..lakini atamfariji Hadi link..je Kama Tatizo Ni permanent ...Awe wakumfariji TU...
Kweli hili janga lingemfika wakati wapo wote..kweli angemsihi..Sasa aliondoka 2 yrs ago.
Akipona SI Ndugu walishamkataa au anamsaidia apone alafu akamrudie yule Alie pendwa na Ndugu.
Akale alipopeleka mboga sio yakiharibika ndo urudi na shida wakati starehe alikula na wengineHuyo Kaka anahitaji msaada mkubwa.. Msiwe wenye kuweka hila na chuki mioyoni...
Yeye kama iko namna amsaidie tu... Sasa unadhani itakuwaje!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa .kamvulia chupi kweli...hiyo Ni weakness TU.. ..Lakini huyo mwanaume Hana msaada .... Atakuwa anamfariji Huku anadu na mwanaume mwingine...Pamoja na kuondoka kwa miaka miwili lakini ukumbuke anasema katika kukutana kwao ameshawishiwa hadi akamvulia chuppi hata kama ni kwa shingo upande
Tunashauriana tu ndugu, maamuzi ya mwisho yapo na nafsi ya mtu mwenyeweMkuu kumsamehe mtu haimaanishi tuwe matafiki Tena...Mimi kunawatu washanifanyia makubwa..nimewasamehe Sina chuki Wala Sina ubaya nao..LAKINI HATUWEZI KUWA MARAFIKI TENA...
ππInawezekana hana tatizo lolote
Ni vile tu hana mzuka na wewe
Angekuwa na mawazo kama haya sidhani kama hata angekubalia kwenda kukutana na huyo ex wake achilia mbali kumpa tena chiu. Watu huhitilafiana lakini baadaye husameheana ( sio wote lakini )Sasa .kamvulia chupi kweli...hiyo Ni weakness TU.. ..Lakini huyo mwanaume Hana msaada .... Atakuwa anamfariji Huku anadu na mwanaume mwingine...
SI Bora abaki na huyo mzima tu
Mkuu...Mimi naona kumsamehe hata Mungu alimsamehe Adamu lakini hakumfudisha peponi...π hivi na Adamu angefanya nginjanginja.. tunda hali.. na anamuita Mungu ajionee Hawa alichofanya... Ingekuwaje!?
π tusameheane tu jmn.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wapo ambao huhitilafiana baadaye husameheana na huwa marafiki tenaMkuu kumsamehe mtu haimaanishi tuwe matafiki Tena...Mimi kunawatu washanifanyia makubwa..nimewasamehe Sina chuki Wala Sina ubaya nao..LAKINI HATUWEZI KUWA MARAFIKI TENA...
Nikweli Watu huhitilafiana Sawa..angekuwa.mzima na akaonesha Niya ya kweli ya kurudi..hapo sawa..wangeweza lisongesha..Angekuwa na mawazo kama haya sidhani kama hata angekubalia kwenda kukutana na huyo ex wake achilia mbali kumpa tena chiu. Watu huhitilafiana lakini baadaye husameheana ( sio wote lakini )
Hahaha!Mkuu...Mimi naona kumsamehe hata Mungu alimsamehe Adamu lakini hakumfudisha peponi...
Kusamehe amsamehe TU...lakini huyo Kaka akahangaike huko alikokua two years ago...
@cariha unakumbuka kisa cha mwana mpotevu!? πAkale alipopeleka mboga sio yakiharibika ndo urudi na shida wakati starehe alikula na wengine
Kama akiamua kumsamehe na kuhangaika naye kwenye Tiba za kila Aina..Atoe Sadaka lakini asitegemee kuwa anatenda wema Kwamba Akipona ndo atampenda zaidi kwa wema wake...Hahaha!
Jamani Msamaha uwe kwa Vitendo.
Kama bado yu singo huyu ndugu yetu amekimbilia nyumbani (kumenoga) sioni ubaya..
Mi naona asemehewe, apokelewe na ahudumiwe kama nafasi ipo. Huo ndio upendo wa kweli.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwana mpotevu ni case ya baba na mwana lakini hyo ni ya mpitaji baada kumshinda ndio anarudi na majanga kwakweli Mimi huwa nasamehe Ila ni vizuri aendelee na life lake mtu asiyekufaa na uzima kwanini arudi akishaharibu na hii ni tabia ya wanaume wengi wallah wakipata na shida lazima uwatunze Ila mwanamke ukiwa na shida hula corner, sasa huyo jogoo hapandi namkubalije Bora janga angepata tukiwa wote ningemhurumia@cariha unakumbuka kisa cha mwana mpotevu!? π
Huyu bwana ametapanya Muda ila amejifunza somo kubwa sana... We unadhani kwanini hajaenda kutafuta mwanamke mwingine.. amerudi π ?
Amejua alikosea huko kwingine kote.. hapa anaporejea ndipo pa uzima na faraja. Apendwe na afarijiwe ikibidi.. kama nafasi iko.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app