Ex amerudi kwangu

Kama huyo jamaa ni muislam tulia nae tu atakuoa mke wa pili.

😅😅binadamu bhana..eti kakaa mda gani hamjawasiliana tangu alipokupiga chini??vodacompowertoyou😅😅
 
Wenye huruma hawana bahati
Jichunge
 
Aisee sijawahi kuona maumbile yaliolala Kwa namna ile kama ya mtoto mdogo kabisaaa
Kahangaika huko kakutana na makubwa ndio anakutafta sasa, na kajirudisha ka kuomba msamaha,na ukute kaathirika kisaikolojia
 
Wewe dada ukaitwa room ukaingia? Huu ni udhaifu no 1.

Usirudie nasema usirudie kuwa cheap kiasi hiki tena.

Mwanamke ana option moja ya kumrudia x wake Ni pale x anapojirudi akataka muendelee kwa maisha ya kuishi wote kama wanandoa na sio kuja kukulala tu.
 
Kahangaika huko kakutana na makubwa ndio anakutafta sasa, na kajirudisha ka kuomba msamaha,na ukute kaathirika kisaikolojia

Ameshaathirika kisaikolojia analia yupo kama chizi anaongea mwenyewe
 

Sawa sitarudia tena kua cheap
 
Inawezekana hana tatizo lolote

Ni vile tu hana mzuka na wewe

Kuna uwezekano mkubwa sana ukawa uko sahihi. Unajua bana sisi wanaume, kimaumbile kuna waya umetoka moja kwa moja kwenye ubongo mpaka kwenye kichwa cha uume. Ndio maana uume ukisimama, ubongo unapiga shoti na kujizima.

Sasa inapotokea kukawa na mushkeli kwenye ubongo, mfano mtu ukawa na mawazo sana, au kuna mambo yanakusumbua, au huna feelings basi kunatokea loose connection na ni ngumu mno kusimamisha. Na hii mara nyingi tu hua inatokea unaweza ingia na mwanamke room mkavua kila kitu na mashine ikagoma kabisa. Ila utashangaa baada ya muda akili ikishakaa sawa mashine inarudi kwenye ubora wake kama kawaida!
 
Ameshaathirika kisaikolojia analia yupo kama chizi anaongea mwenyewe

Usiweke sana chumvi nyingi hayo ni mambo ya kawaida hua yanatokea kwa wanaume labda ni wewe tu haijawahi kukutokea. Huyo jamaa mpe muda atarudi kuwa sawa tu itakua kuna mambo yamemsonga akilini. Kumbuka sasa hivi hali ya maisha ni ngumu ongezea na ma corona haya usikute jamaa mambo hayaendi ana mawazo chungu nzima kichwani we umekalia kutafuta mchawi. Kama unampenda endelea kumtia moyo badala ya kushadadia matatizo yake.
 
Huyo bado unampenda mtu mlishaachana miaka miwili imepita unaenda kuonana naye lodge kabisa sehemu za wazi zote zilijaa,na kwamba ww kwa muda wote huo hukupata mtu mwingine?huyo uliyenaye ulimuaga wkt unaenda kuonana na ex wako?Duniani Kuna mambo.Huyo ex wako alikuwa anatest kwako ili ajue km ww ndio uliyemfanyizia ili isisimame kwasasa ameshajua kuwa sio ww uliyemchezea hivyo ataendelea kudanga kwenda kwa wanawake wengine aliopita nao.
Pia mpe ushauri aende hospital akacheki sukari huenda akawa na tatizo kiafya
 
Wengi humu wanakushauri ulipize kisasi wanakupotosha.

Kuna mambo mawili hapa kumsaidia tatizo lake kibinadamu kama unavyoweza kumsaidia yeyote tofauti hapa ni kuwa huyo mliwahi kuwa na mahusiano. Pili kuamua kurudiana naye au la. Kama una uwezo wa kumsaidia hata ushauri tu akapona msaidie usiangalie mliachanaje. Jaribu kufikiri unaweza kumchukua ndugu ukamsomesha tangu primary hadi chuo kikuu na asikujue wewe wala watoto wako asiwasaidie lakini hatuachi kusaidia. Akipona sasa sio lazima urudiane naye ingawa pia unaweza kurudiana naye kama utapenda. Hivyo usichanganye issues mbili hizi ambazo ni tofauti.

Huyo jamaa inaweza kuwa alujiunga na CHAPUTA hivyo imemuathiri.

Usifuate ushauri wa kulipiza kisasi, hiyo ni kazi ya Mwenyezi Mungu.
 

Sijashadadia matatizo yake ndo maana nimekuja kuomba msaada nimsaidie vipi ili awe sawa
 

Sijawaza kulipiza kisasi ila nimetaka kujua nimsaidie vipi apone maana mpaka sasa hajajikubali hali yake
 
Sijawaza kulipiza kisasi ila nimetaka kujua nimsaidie vipi apone maana mpaka sasa hajajikubali hali yake
Pa kuanzia muulize kwa upole akueleze ukweli wote tangu mlipoachana kila kitu hata kama alibobea kwenye CHAPUTA ili iwe rahisi kujua uanzie wapi kumsaidia. Ukiujua tu ukweli wote nusu ya tatizo utakuwa umelitatua. Kama hatakueleza ukweli hautaweza kumsaidia hata kama utataka utaishia kupiga ramli tu. Hivyo mueleza black and white kama anataka msaada aeleze ukweli wote.
 
Let me get this straight, yani mtu mliachana, uka move on aka move on, then miaka imepita anakutafuta, unakubali kuonana nae, what worse kumbe amekutafuta kwajili ya ngono ya majaribio na wewe unakubali kirahisi rahisi tu hivyo 😱😱😱😱? girl are u for real? Huu ukimwi utaisha kweli? Dooh Sikuhukumu ila nimekuhurumia sana tena sana, i dnt knw if u r desperate, lonely or stupid
 
Yan kwl wanawake mnashida.. yan mtu mlishaachana miaka mingi iliyopita, leo hii anakujia kirahis hivyo tena kwa mara ya kwanza mnaonana unakuw tayar kulala naye??, Nikupe pole tu kw kwel.. wanawake mnakuw rahisi hivyo kwann.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…