Habari zenu wakubwa. Kuna kitu kimenitokea kama wiki mbili zilizopita nimekuja kwenu japo niondoe mawazo na maswali yangu.
Jambo lililonikuta ni kwamba niliachana na mpenzi ambae tulikaa kwenye mahusiano Kwa muda mrefu kidogo tulishindwa kufikia kwenye ndoa baada ya ndugu zake kuingilia mahusiano yetu na wakaamua kumshauri atafute mwanamke mwingine kwa kua mimi nilishililia msimamo wa ndoa kabla ya Kuishi pamoja.
Sasa imepita miaka miwili bila mawasiliano na huyo mwanaume lakini cha ajabu ni kua hivi karibuni alinitafuta na alitaka tuonane akidai kuna jambo anataka tuzingumze,kibinadamu nilikubali tukapanga kuonana ilipofika siku ya Miadi nikampigia simu akaniambia nimfate maeneo ya Sinza basi nikafanya kama alivyotaka nilipofika nikakuta ameshabook room akaniomba sana niingie ndani tuzingumze nilikubali japo kishingo upande.
Baada ya kuingia room akaniomba tupeane mapenz nilikataa sana kufanya hicho kitu kwa kua sikua tayar kurudiana nae alizidi kunilazimisha hatimae nilikubali kufanya alivyotaka lakin ajabu ni kua haikupita dakika tatu maumbile yake yakasinyaa kabisa ikawa hawez kufanyae chochote nikaamua kuondoka
Baada ya kama siku tatu akanitafuta tena Ilibid niende maana kichwani nilikua namaswali mengi kuhusu hali niliyom
uona nayo.
Kweli tulikutana na hali ikawa ni ile ile maumbile yanasimama Kwa sekunde kadhaa halafu yanalala kama ya mtoto mdogo nikaamua kumuweka chin nimuulize tatizo limeanza lini hasemi analia tuu namuuliza Kwa mwanamke wake iko hivyo Hataki kusema kitu analia yupo kama kachanganyikiwa.
Sasa maswali najuiliza je huyu mwanaume Kapata ugonjwa gani.
Je, ni kweli kuna wanaume hufanyiwa hivyo na wanawake zao kama limbwata asitembee na wanawake wengine na kama kafanyiwa hivyo iweje anitafute mimi ambae hatujawasiliana Kwa muda mrefu?
Akili pia inaniambia huyu jamaa amepata hili tatizo akiwa na huyo mwanamke na sasa ananitafuta Kwa kua kaona hana jipya

Naombeni ushauri nifanyaje nini na huyu mtu maana huruma ya kininadamu imenijia sasa hivi anaongea mwenyewe kama mtu aliechanganyikiwa na hana furaha na maisha